Ilitokea Kigamboni kama sinema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ilitokea Kigamboni kama sinema!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tram Almasi, Oct 8, 2012.

 1. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kama miezi miwili hivi nilishuhudia hili tukio la gari kuzama(Angalia picha). Ilikuwa kama tunaangalia movie vile. Kilichonisikitisha ni kuona kwamba hata wale amabao tunategemea kwamba wangesaidia kutoa taarifa katika vyombo vya usalama na uokozi, hawakuonekana kuguswa kabisa na tukio lile mpaka wavuvi na baadhi ya wananchi walipoamua kujitosa na kusiadia kuiopoa gari iliyozama kutoka majini.Bahati nzuri ni kwamba, mwenye gari alipoona inazama aliamua kufungua mlango na kuruka baada ya kuona pantoni inafunga lango lake akiwa nusu ndani na nusu nje.
  MY TAKE:
  Ni jana tu nikiwa ktk pantoni nimejaribu kuchunguza na nikaona kwamba hakuna jitihada zozote za kuhakikisha kuna huduma za uokozi iwapo ajali kama hiyo itatokea tena.inasikitisha na kutisha kwa kweli. au tunasubiri kuunda tume ajali ikitokea?
  DSC_2216.JPG DSC_2209.JPG DSC_2230.JPG DSC_2238.JPG DSC_2254.JPG DSC_2271.JPG
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Pale Kigamboni wahudumu wanaangalia pesa tuu wanazoiba.
  Isue za safety hawazingatii kabisa.
  Kuna maboya yamechakaa na hayaonekani kama hufanyiwa safety inspection.
   
 3. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,544
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Kwa hapa tulipofika nchi hii , kunahitajika mabadiliko makubwa sana ya kimfumo kuanzia ngazi za chini hadi juu. Mabadiliko haya yataletwa na watu walio nje ya mfumo uliopo sasa. Vinginevyo tutaendelea kupiga kelele kila siku. Watanzania tuhakikishe hatufanyi makosa uchaguzi wa mwaka 2015.
   
 4. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Government haina slogan ya safety is our first value. wao slogani yao ni Wizi ndo their first value.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  CCM wameharibu nchi
   
 6. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa mkuu.
   
 7. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mambo mengine yanaudhi hadi unashindwa usemeje, halafu ndio tunasema tunaserikali inayotujali watu wanapata tabu taasisi zake na wahusika hata hawana mpango. na hakuna anayechukuliwa hatua kwa lolote.
   
 8. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,118
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280
  Hayo ni manyunyu tu ya mvua, subirini daraja liishe kama hamjaona watu kwa makusudi tu wanajitoa muhanga kwa kujirusha na magali yao ili waandikwe magazetini. Salaaaale, Bongo hii?
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nilikuwepo siku ile nilisikitika sana baada ya wavuvi kulitoa polic ndio wanajitokeza kuwafukuza eti ni wezi du!!!!!!!nilikasirika kweli na kama ningekuwa na bomu ningewarushia sidhani kama ile gari itapona maana walivyolichelewesha pale badala wamruhusu yule jamaa fasta akalifanyie service maana maji ya cumvi noma wanaendelea kuvuta jinsi watakavyopata kula .
   
 10. N

  Nguto JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  He inakuwaje gari linazama wakati inatakiwa wafanyakazi wa pantoni wahahakikishe magari yote yameingia ndipo waruhusu iondoke?? Hii hatari sana!
   
 11. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu, ndo ivo ivo tena kibongo bongo
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,842
  Trophy Points: 280
  hapa suala ni moja tu. Ccm wamejisahau..
   
 13. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli Mkuu, baada ya wavuvi kumaliza kazi ndio hawa askari na wanajeshi wakajitokeza. Katika picha moja unamuona askari wa maji(Marine) na yeye amekaa hana tofauti na wananchi wa kawaida vivyo hivyo askari wengine na wanajeshi. Duh hatari hii.
  View attachment 67662 DSC_2212.JPG DSC_2267.JPG
   
 14. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na bado tusipoamka tutakwisha.
   
 15. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Mkuu haya maneno i hope Watanzania wengi wanayasoma, nashukuru kwa post hii muhimu!
   
 16. Dr.kapama

  Dr.kapama Senior Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ndo tanzaUZEMBE...hamna NIA kabisaaaaa....
  Inasikitisha asee....
   
Loading...