Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

The winner is 550 million dollar two hours from now.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Check the status of every individual contact is showing :Status : errorHello everyone, it seems that all the warnings were real, the use of WhatsApp cost money from summer 2012.If you send this...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Huwa najiuliza kila siku hawa watu wanao tembea nakujion miungu watu kwenye jamii laitani wasingeli kuwa wanakufa ingelikuwaje viongozi wenye kusifika nakusifiwa mafisadi nawaonevu wawanyonge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WEDNESDAY, NOVEMBER 28, 2012 HII KALI YA MWAKA ASKARI GHAFLA ASIMAMA NA KUANZA KUCHORA CHINI SABABU HAIJULIKANI HII KALI SIJUI ASKARI HUYU ALIKUWA ANACHORA NINI HAPO CHINI HII NI BARABARA...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Salaam ewe mheshimiwa! Pole kwa majukumu (yako pamoja na ya wale wanaolala na kukusubiri ufikirie badala yao). Treni la mjini aka treni la Mwakyembe lishaanza kuboa wateja hasa wa maeneo ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Posted on | juni 18, 2012 | By Elias Mhegera Is it religion, politics or a disease? This is how one could sum up the debate which was meant for discussing access to information to...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Niko njiani naelekea Tegeta kutokea maeneo ya Mwenge na mvua inanyesha maji yanatiririka sana mitaroni. Lakini nimeshangaa nilpofika maeneo ya CHEMICOTEX ni karibu na njia panda AFRIKANA kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni ukweli uliodhahiri kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana kuipa CCM changamoto za kufanya maendeleo nchini,japokuwa kuna malalamiko ya hapa na pale kuhusu mfumo wa siasa za CHADEMA lakini ukweli...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya miaka mingi, nilirudi bongo juzi and I must say nilinusurika kugongwa na magari mara mbili wakati navuka barabara kwenye zebra crossing. Baada ya siku kadhaa na kulizoea jiji nikagundua...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Hili ni bango utakalokutana nalo ukiwa unaelekea uwanja wa ndege wa Singida uliopo maeneo ya Sabasaba. Hii ni ofisi ya wahudumu wa uwanja wa ndege wa Singida. Maandhari ya uwanja wa ndege wa...
1 Reactions
70 Replies
18K Views
kuna watu mapikipiki yao sijui huwa wanaifanyaje!!? inatoa kelele kupita kiasi. tena wakiona sehemu kuna watu wengi ndo wanazidisha. wengi wao ni vijana wa kiarabu na kihindi japo na waswahili nao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naona bunge lipewe chance hii
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimesikia kisa cha tatu kinachofanana cha watanzania wenzetu kuibiwa kwa staili inayofanana... Unapotaka kuuza kitu chako unatafuta njia muafaka ya kuwafikia wateja. Unatoa tangazo liwe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, John Ndunguru alivieleza vyombo vya habari kwamba Serikali iliweka utaratibu unaozuia matumizi ya namba za kiraia kwenye magari yake isipokuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamii, leo nimeona niongelee hali ya vyoo katika chuo chetu hiki ambacho kipo mjini kabisa katika jiji hili kubwa kuliko yote Tanzania,,hakuna shaka ukikutana na mwanachuo yeyote...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Kunasemekana kuna kiongozi mkuu ha Dar kafariki leo hizi ni habari ambazo hazijadhibitishwa!! Chanzo: http://www.facebook.com/
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo katika Mkutano wa CDM na wamachinga jijini Mwanza wakiongozwa na Kamanda Wenje na Heche. Waziri Mkuu apewa 14 Days amuondoe Mkurugenzi otherwise People's Power itamchomoa kwa Nguvu. Kuna...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
habari zenu ndg zangu. Naulizia kwa anaefahamu chuo kifundishacho computerized Accounting na bei zake. Pls msaada wenu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Ahmad Kilima Kwa ufupi “Kuanzia Juni 30, mwaka kesho, mamlaka itasitisha uendeshaji wa leseni kwa mmiliki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba niwataadhalishe muendapo Arusha au Moshi kwa Presicion air(ni KIA tu ndio wenye haya matatizo na si viwanja vingine) muwe makini wakati mnarudi safari yenu ,pale KIA wahudumu wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom