Picha: Kali ya mwaka askari ghafla asimama na kuanza kuchora chini sababu haijulikani

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,870
Points
1,225

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,870 1,225

WEDNESDAY, NOVEMBER 28, 2012

HII KALI YA MWAKA ASKARI GHAFLA ASIMAMA NA KUANZA KUCHORA CHINI SABABU HAIJULIKANIHII KALI SIJUI ASKARI HUYU ALIKUWA ANACHORA NINI HAPO CHINI HII NI BARABARA YA MBEYA PEAK KWENDA UWANJA WA SOKOINE MBEYA
KWAKWELI IMECHUKUA MUDA KAMA DAKIKA TANO AKIENDELEA KUCHORA HAPO CHINI TUMESHINDWA KUPATA NAMBA ZAKE AU JINA LAKE LAKINI TUNAHISI HUWENDA MAHESABU YA KIFEDHA YANAMSUMBUA
SASA KAINUKA NA KUANZA KUFUTA KWA BUTI LAKE MAANDISHI ALIOANDIKA HAPO CHINI

Picha kwa hisani ya Joachim nyambo


 

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,870
Points
1,225

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,870 1,225

Nchi zingine ni SHERIA kila MWAKA POLISI kuchunguzwa AKILI na Pia Kama Wanavuta BANGI...
Wa KWETU HATUFANYI HIVYO NDIO MAANA WANAUA WANANCHI KAMA NDEGE
 

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
1,274
Points
1,225

snochet

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
1,274 1,225
tarehe ndo zimefika,babu anataka aone wajukuu zake moshi,leo magari yote hayana makosa,mke anataka nguo ya kwenda kitchen party,....maisha magumu,,nyie sikieni tu kwenye bomba,omba sana yasikukute.
 

Tabby

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Messages
10,246
Points
2,000

Tabby

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2008
10,246 2,000
Hapana. Inaonekana ana suala binafsi linamzonga. Unajua maisha ni magumu sana kwa Mtanzania wa kawaida? Tunatembea mili tu akili ziko kwingine!. Dunia hii jamani acheni kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,392,375
Members 528,604
Posts 34,107,161
Top