salaaam

salaaam

LUKOKA D

Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
6
Reaction score
1
Ni ukweli uliodhahiri kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana kuipa CCM changamoto za kufanya maendeleo nchini,japokuwa kuna malalamiko ya hapa na pale kuhusu mfumo wa siasa za CHADEMA lakini ukweli utabaki kuwa hiki chama kinadhihirisha mfano wa kuitwa chama pinzani.
 
haya, salam yako tumeipokea, ila kuna jukwaa husika la kubisha hodi.
karibu JF.
 
Ni post yake ya kwanza naombeni tumvulie jamani
 
Maana yako ni nini?kama sijaelewa.

Only the wise can dance the melody of the night! mbona ujumbe wake uko wazi sana ni kipi kisichoeleweka unless you choose not to!
 
Kwako ndiyo kimefanya mengi mfano maandamo ya sio kuwa na tija viongozi wao kuishi geust na wake za watu mgombea urais kumtelekeza mke wake na kuhamia nyumba ndogo chacha wangwe yuko wapi?
 
Back
Top Bottom