Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa masikitiko makubwa napenda kuuandikia uongozi wa mfuko huu kuchukua hatua na za haraka ili kurekebisha uzembe unaofanywa na maafisa wa mfuko huu. Mimi ni mfanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
VIDEO: Two thimble-sized chameleons born at Exmoor Zoo Wednesday, November 14, 2012 NDJFran Follow TWO tiny chameleons no bigger than a thimble have been born at Exmoor Zoo. The baby...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ugomvi wa wakubwa wenu Pharmacy board dhidi ya Tfda sasa unawaumiza , makubaliano mliyoyafikia kati yenu na Tfda wakati ule wa yale mafunzo yenu ya ADDO yamepuuzwa ! Bila shaka mnayakumbuka ...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
tukitambua umuhimu wa mama na majukumu mazito aliyokuwa nayo baada ya kuzaa watoto kwa kuwaandalia taratibu nzuri za kimalezi ili angalau taifa la kesho liwe ni la kuchapa kazi zaidi kuliko kuwa...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wakuu Kuna suala la muhimu ambalo ningependa tujikumbushe na kulizingatia. Wakati tunashirikiana na kufanya kazi kwa pamoja kujaribu kuondokana na uozo wa chama cha mapinduzi ili kuikomboa nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kuusoma kama mwanaharakati nimeamua kuandika yafuatayo;- Nakumbuka maneno ya MOHANDAS KARAMACHAND GANDHI aliyefahamika sana kama MAHATIMA GANDHI na baba wa taifa la India, Yeye alisema...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Jamani hv hii nchi inaelekea wapi? Waziri mkuu ktk kikao kilichopita cha bunge akijibu swali kuhusu kuchelewa kwa mishahara alisema tatizo limekwisha. Sasa mnaweza jionea hali halisi kwa...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Ni raisi pekee: 1.Aliye mpole na asiye na papara katika mambo yake 2.mwenye huruma na utu, hakusi kuhudhuria misiba muhimu, kutuma salamu za rambirambi, kutembelea wagonjwa, n.k 3.Anayeweza...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani Geita wametoa tamko la kukataa gari linalotumika katika kusambaza Dawa za Binadamu kwenye vituo vya afya pamoja na zahanati mbalimbali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali ya kusikitisha nyumba zilizojengwa na hili shirika kwa ajili ya kuwauzia wanachama wake ni kiinamacho cha ajabu,nyumba zenyewe chache halafu bado bei ghali kuanzia million 77 hadi 109...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wa JF: Taarifa za uhakika nilizozipata usiku huu zinasemea Mkuu wa Mkoa wa Geita Said Magalula Said amepata ajali katika eneo la Kijiji cha Buhalahala nje kidogo ya mji wa Geita baada ya...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Kesho terehe 1/12 ni siku ya UKIMWI duniani, je wadau mmejiandaa kuadhimisha namna gani?. Mimi naadhimisha kwa kusikiliza wimbo wa Mrisho Mpoto uitwao mtu huru, sijawahi sikia wimbo wenye kugusa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
....Akihojiwa kwa njia ya simu kamanda Kenyela amesema kijana aliejeruhiwa amejeruhiwa kwa subject Matter..huenda ikawa Jiwe,Risas au bomu la machozi... Na mjeruhiwa yupo hoi wodini. Amesema...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
:A S cry:Question: Two friends of mine argued over a TV program and had to engage in a fight to resolve the matter. Is it true that some of the programs on TV are harmful? Answer...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon Moi aliyemtembelea leo Novemba 29, 2012 katika hoteli ya Nairobi Serena jijini Nairobi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf......mali zetu zinatoweka kwa kiwango cha kutisha....tembo wanateketea, twiga wanapandishwa ndege sijui hali itakuwaje baada ya miaka kumi ijayo?????? Wito wangu, wenzetu wachina meno ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwakweli nimekuwa nikifuatilia michuano ya soka ya CECAFA inayoendelea Uganda kupitia luninga, sijawahi kuona michuano mibovu kama hii hasa uwanja unaofanyikia mashindano hayo. Hali ya uwanja ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
JESHI la Polisi mkoani Mbeya limemfukuza kazi askari wake Enock Daffa (22) kwa tuhuma za kufanya mapenzi na mtuhumiwa wa kike mwenye umri wa miaka 25 katika Kituo cha Polisi cha Mji mdogo wa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Kwanza ntaenda kampuni ya Land Rover kuchukua kavogue Then ntafungua viwanda vitatu Tanzania. Ntajenga two apartment complexes Kisha ntafungua television station. Nitaajiri watu wengine...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kuna tabia za viongozi wetu zinatia mauzi sana hapa Tanzania. Hawa mabwana wana tabia za kutopokea simu wala kujibu message. Unajuwa siyo mjifanye nyie ndio mko busy sana hata simu za wapiga kura...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom