Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi, Tigo imeshikilia usukani wa biashara inayoongoza kwa kero kwa wateja baada ya kuibuka kuwa mshindi miongoni mwa biashara 31 zenye kero kwa wateja nchini...
Baraa hili la umeme ni janga lisilo epukika kwa hali sasa jinsi ilivyo, kwenye gazeti la Mwana Halisi ukurasa wa pili linasema "Nchi kuingia gizani"!!!!!!! Bila shaka mpenzi msomaji hapa unaishi...
Hawa city fathers wamekuwa wanaleta usumbufu mara zote kunapokuwa na ugeni hapa jijini Arusha. Kero kubwa iliyonifanya niilete kero hii ni kuwa kila kunapokuwa na ugeni hapapitiki! Wamefunga...
Timu ya Sun'land ya Wingereza katika jezi waliyovaa usiku wa jana ilikua na maandishi yasemayo "Invest in Africa" je maneno hayo kweli ni ya kuhamasisha uwekezaji barani kwetu au ni kuhamasisha...
Watawala wetu hutuambia kuwa "wakoloni weupe" walitumia njia hii ya kutugawa ili watutawale vizuri, kwa mfano utawala wa Kijerumani nchi yetu Tanganyika ilikuwa imegawanywa sehemu za kiutawala...
..serikali inapaswa kuwa makini na hawa wawekezaji wa KICHINA.
..Wachina wa sasa hivi siyo wale waliojenga Tazara enzi za Mwenyekiti Mao na Waziri Mkuu Chou En Lai.
..pesa zao hazina masharti ya...
Hawa madiwani niliowataja wote wapo kwenye eneo ambapo shule ya kata ya Ngarenaro ndiko ilipo.Ni zaidi ya wiki ya pili sasa ukuta wa hiyo shule umeanguka na kuharibu mandhari ya hiyo shule, uzio...
Nini maoni yako juu ya hali ilivyo ndani ya CCM?
Tafakari yafuatayo:
1. Upo mmomonyoko mkubwa wa maadili;
2. Hakina waadilifu;
3. Imejaa rushwa;
4. Biashara mpya ya kura imeshamiri;
5...
Anti-Corruption Views - How bribery cripples justice in Tanzania courtsBy Kizito Makoye | Yesterday at 3:39 PM | Comments ( 0 )
This November 2007 file photo shows the dormant volcano of Mount...
Kila kukicha wenye nyumba wanaongeza kodi, wenye nyumba za bishara hawa ndio hatari zaidi, hali hii huwafanya wafanyabiashara wengi kuhama hama kila siku. Imefikia hata wenye nyumba kukuuzia ndani...
Habari ya kweli iliyotokea siku chache zilizopita.
Kuna dada mmoja anasoma chuo fulani Buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea...
Nimepita hapo Buguruni this morning hali si shwari baada ya coaster kumgonga na kumuua mama mmoja hapohapo raia wamezingira kituo hebu mliopo huko now mtujuze kinachoendelea..
HIZI ni picha 16 miongoni mwa picha nyingi zinazoonyesha jinsi mazishi ya John Stephano Maganga yalivyofanyika leo mchana kwenye makaburi ya Kinonndoni.
Katika picha hizi utashuhudia matukio...
Dear Waziri wa Nishati, Nna uhakika kwamba wizara yako inajua kuhusu teknolojia ya uzalishaji wa gesi kwa kutumia takataka,kwani najua kuna viwanda vichache vinatumia teknolojia hii kujizalishia...
Wakuu wakati naenda kazini leo asubuhi nilichukua bodaboda kutoka kituo cha Mt. Meru hotel kwenda Clock-tower. Katika maongezi yetu na dereva bodaboda tukawa tunaongelea mapokezi ya katibu mkuu...
HATIMAYE MRADI WA MAJI WILAYANI GAIRO U MBIONI KUKAMILIKA: Pamoja na kuchelewa lakini hivi sasa mradi wa Maji ulionzishwa wilayani Gairo Uliodhaminwa na World Bank unakaribia kukamilika.Mbunge...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 27/11/2012 // Habari // 1 Comment
Na Khamis Haji, OMKR
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ameutaka uongozi wa Wizara ya Afya...
Ukweli unauma sana, lakini ndo hivyo. Wakati wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere, wafanyakazi walikuwa na hesimika sana. Sababu moja ilikuwa ni kwamba hapakuwa na tofauti kubwa ya kipato kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.