Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
kuna watu mapikipiki yao sijui huwa wanaifanyaje!!? inatoa kelele kupita kiasi. tena wakiona sehemu kuna watu wengi ndo wanazidisha. wengi wao ni vijana wa kiarabu na kihindi japo na waswahili nao wameanza kuiga. mtu ukiwa na presha unaweza pata matatizo kwakweli. hivi kwa sheria za barabarani hili limekaaje? matrafiki hawaoni kama ni kero? au wanawaogopa? sheria za miji kuhusu noise pollution zinasemaje?.