ASKARI ALIYEFANYA MAPENZI NA MTUHUMIWA WA KIKE KATIKA KITUO CHA POLISI AFUKUZWA KAZINI
Na Ezekiel Kamanga, Mbeya.
JESHI la polisi Mkoani Mbeya limefukuza kazi Askari wake Enock Daffa (22)...
MSAADA TUTANI: YALE YALEEEEEE.....
Anko nanihii ambaye ni mkuu wa
wilaya ya nanihiino na balozi wa nanihii,
Bila kukupoteza muda, naomba unisaidie kupata maoni ya wadau kuhusu swala hili ambalo...
Sapa-AFP | 26 November, 2012 15:35
A car burns at the scene of a bomb explosion at St. Theresa Catholic Church at Madalla, Suleja, just outside Nigeria's capital Abuja, December 25, 2011. Five...
Chaotic scene as civilians work to put out another garment-factory fire in Bangladesh
Just two days after a garment-factory fire that killed at least 112 people, another fire broke out at a...
Published on 27 Nov 2012 by ITV TANZANIAZaidi ya wakazi elfu mbili wa jamii ya wafugaji katika kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakiwa na silaa za jadi zikiwemo mishale...
TUESDAY, NOVEMBER 27, 2012
RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MABENKI JIJINI
ARUSHA HIVI SASA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano mkuu wa mabenki yote 49 yaliopo hapa...
Dk Amani karume aliposema CCM wa ZANZIBAR kama samaki alikuwa na maana moja kati ya hizi
1) wanalana wao kwa wao.
2) ni rahisi kukamatika (kwa mitego wanayoiona kila siku)
3) wakubwa ndio wenye...
Jamani,
Hii inatisha sana. Inabidi tuogopane sana!
Habari ya kweli iliyotokea wiki iliyopita
Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda...
Haya ni mawazo yangu juu ya uwajibikaji katika nyanja yoyote ya utendaji.Katika kuwajibika katika kazi,shughuli au chochote ulichopangiwa kukifanya au wewe mwenyewe umeamua kufanya ni kukifanya...
Ajali ya gari imetokea eneo la Lililokaribu sana na mpaka wa Mkoa wa Njombe na Ruvuma.
Kutoka Njombe ni Kilometa 68 tu.
Utaona jinsi wasamaria wakijitahidi kupakua baadhi ya mifuko iliyobaki baada...
Jamani hivi nyie wenzangu vipi katika hili, maana mie muda unavyozidi kwenda mbele naona naboreka si kawaida na huduma za ATMs za kibongo hata sijui iweje wajirekebishe yaani ama so so bored 100%...
Nasikitika kusema kuwa wafamasia wetu hawajiamini,hawafanyi kazi yao ipasavyo,na wengi wameishia kuweka vyeti vyao kwenye maduka ya dawa na kuwaachia watu wasio na ujuzi kuuza dawa!Is ajabu...
Kama nchi inahitaji wataalamu wa lugha ya kiingereza basi msisitizo uwekwe kwenye kiingereza lakini kama nchi inahitaji wataalamu wenye ujuzi juu ya fani na taaluma mbalimbali zenye tija kwa...
Monday, November 26, 2012
SPIKA ANNE MAKINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA MZEE RAJANI, UPANGA JIJINI DAR
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwasili nyumbani kwa marehemu mzee Shree...
Bado siku 34 tumalize mwaka tuingie 2013 kama tunavyojua 2014 kutakua na uchaguzi wa serikali za mitaa na 2015 vikumbo vyote vitakua kwenye udiwani,ubunge,uraisi.
Sasa hizi siasa imekua...
Leo ngoja ni wachambulie tabia za siku hizi za jf members wa kiwa kila jukwaa!
MMU wanakuwa makini sana kuchangia
SIASA wanakuwa wanayaponda sana magamba
HABARI wanakuwa wachochezi wakubwa wa...
Kila mmoja JF naomba afumbe macho dakika kumi baada ya kusoma topic hii halafu eleza jinsi CCM ilichomfanyia yeye au ndugu yake au mzazi wake. Mimi naanza.
1.Primary School education - buuureee...
Askari wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar Es salaam leo hii watafanya maandamano makubwa na ya kihistoria kupinga Unyanyasaji wa Kijinsia kwa watoto nchini
Source: Magazeti RFA.
My...
Naomba kufahamu ubora wa huduma za afya kwenye hospitali ya IMEC Iringa nimeambiwa ni ya Dr Lushino. Nataka kupeleka mama kwa huduma za kliniki na kujifungua.
Maana za serikali ni longo longo nyingi.
Akizungu mzia utafiti uliofanywa juu yake alisema umefanyika kiumakini isipokuwa kwa upande wanasema anamili hisa za kampuni ya Simu 19% si sahihi anamiliki 35%.
Source;Mwananchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.