Kifo ni mwalimu


B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
763
Points
170
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
763 170
Huwa najiuliza kila siku hawa watu wanao tembea nakujion miungu watu kwenye jamii laitani wasingeli kuwa wanakufa ingelikuwaje viongozi wenye kusifika nakusifiwa mafisadi nawaonevu wawanyonge. Hebu fikiria katika haya maisha life transition isingeli kuwapo yaani lazima ufe ili mwengine ainuke asahihishe nakuendeleza ama kwa kuharibu au kufanikisha mema na mazuri uliyo ya fanya
wito
1 mcheni mungu enyi viongozi na kumtukuza maana saa yake ya hukumu imekaribia
2 walikuwepo viongozi mashuhuri kama hitler benito na wengine wengi wenye sifa swali ni leo hii wako wapi
3 kiongozi mwema hutawala milele(kwenye mioyo ya watu)


ni vema kutenda mema wakati bado pumnzi imo ndani maana siku zaja utakapotupwa kaburini kama mzoga wala heshima yako haitakuwepo tena
 

Forum statistics

Threads 1,295,998
Members 498,495
Posts 31,230,267
Top