Baada ya taarifa iliyorushwa jana na kituo cha televisheni ya ITV, kuhusu mgogoro mkubwa wa mipaka baina ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kijiji cha Ololosokwan wilayani Ngorongoro ambapo...
kulingana na matangazo ya leo katika pitapita zangu nikasikia hili tangazo la kampuni binafsi kutumika badala ya mgambo ambao wamehitimu na wengi wapo hawana ajira ,binafsi hawa mgambo wangefanya...
CCM ni wanafiki, wanalia kinafiki
Bwana Mdogo
UNAFIKI ni mbaya, haufai. Kama unafiki ni mbaya basi mnafiki pia ni mbaya na hafai.
Ubaya wa mnafiki ni kwamba unakula naye, unaishi naye...
Kijana mmoja huko Tegeta amepigwa risasi ya moto na kujeruhiwa vibaya shavu na wengine kujeruhiwa vibaya sana baada ya polisi kurusha risasi hiyo wakiwa kwenye operesheni ya kuondoa magari...
Vurugu kati ya askari na madreva wanao park magari pembezoni mwa barabara maeneo ya Tegeta kwa Ndevu, zimsabasha umauti wa mtoto kwa kupigwa risasi na kufa.
source: shuhuda.
Tangu habari za mabadiliko ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikalini na mashirika ya umma hapa nchini ziwekwe hadharani, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi ambayo kwayo nashindwa kuyapatia...
Najiuliza accountability imepotelea wapi, inakuwaje kwa miezi kadhaa sasa serikali imekuwa ikichelewa bila maelezo ya kina na ya wazi. mara utasikia epicol mara bla bla mbona mnanyanyasa watu...
Wakuu salaam sana ,niko mwanza mjini nina akina mama kama kumi ambao muda wao wa kazi ni finyu sana ila wanahitaji kujiunga na chadema na wameniomba niwanunulie kadi za chadema,naombeni msaada huo
Nipo hapa Butiama, uongozi wote wa Kijiji chini ya Mwenyekiti Zacharia Wambura (Debe Tupu), umefukuzwa. Waliofanya kazi hiyo ni wananchi wenyewe baada ya ufisadfi kuvuka kiwango.
Source: Mimi...
Siku chache baada ya treni hii Marufu ya Dokta Mwakembe kufunguliwa, takribani siku ya tatu sasa Kizuizi cha magari makatisho ya barabara ya Mandela kimevunjika ghafla na kuacha maswali mengi...
nimekuwa nashangazwa sana na akili za watu kutokana na matendo ambayo binadamu hufanya, maana katika maisha kuna binadamu wameamua kuishi katika aina fulani ya maisha, mfano mwizi au jambazi...
Kuna rafiki yangu aliniforwardia hili tangazo la health check muhimbili kama miezi sita iliyopita.
Jumamosi iliyopita nilienda kwa kweli nilifurahia sana huduma zao.
Nimeona sio vibaya kuliweka...
Nipo kariakoo maeneo ya sokoni, yamepita maandamano ya baadhi ya waislamu wakihamasisha wengine, wanapita wakiimba, ila hakuna vurugu yoyote, wameelekea barabara ya Msimbazi, hapa kimepita kikundi...
Wanabodi,
Nasikiliza Redio One stereo, kipindi kinachoitwa Yaliyomo Yamo.
Kuna hoja inaendeshwa ikitaka ifanyike petition kwenye makampuni ya simu kupitia TCRA ili bei ya SMS ipandishwe sana...
Ndugu wana jamii nadhani mnakumbuka punde tulikua na vurugu zawakulima na wafugaji,Hali sio shwari tena, leo mabomu yanarindima wananchi wa ikwiriri wanaandamana wakikataa mitambo ya mafuta ya...
Tunapenda kumuuliza Waziri mkuu na yeye aje atuambie au atusikilize hiki kilio chetu kuhusu hii kampuni ya uzoaji taka Kariakoo, inayoitwa "MOTO INVESTMENT" kwakua tunapotafuta njia ya kukufikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.