Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe KWA UFUPI “Kulingana na hali halisi ya maisha ya baadhi ya ya Watanzania, wizara yangu haitakuwa tayari kuona fedha zikitafunwa na watu wachache kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ngwila Daudi KWA UFUPI “Kabla sijapata ugonjwa huu nilikuwa nikifanya shughuli mbalimbali na kujipatia kipato change. Niliweza kuitunza familia yangu na kuwasaidia ndugu zangu ambao leo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tangu Disemba 1, 1988 dunia imekuwa ikiadhimisha siku ya UKIMWI duniani. Wazo la kuadhimisha siku hiyo lilitolewa na James W. Bunn naThomas Netter ambao walikuwa ni maofisa habari (Global...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
http://www.youtube.com/watch?v=B0jCHk7M1hwhttp://www.youtube.com/redirect?q=http%3A%2F%2Fwww.redicecreations.com%2Fspecialreports%2F2006%2F04apr%2Fcatholicislam.html&session_token=-BJ5Hv1ygreejIwHQ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama tunavyojua kodi nchi mwetu inakusanywa na TRA(Tanzania revenue authority) naona kama wamelala kimawazo au wanashindwa ubinifu wa kuongeza mapato yao ya kila siku kila mwezi kulifanya taifa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pale serikali inaposahau majukumu yake kwa wananchi, wananchi wanajukumu la kuikumbusha serikali kwa njia mbalimbali, njia moja wapo ni njia maandamano. Ni haki ya kimsingi ya kila raia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanabodi, Nimefika Kwenye mji wa Geita majira ya saa 2:40 mchana huu,kuna shmrashamra kila kona ya mji huu kufuatia ugeni wa makamanda wa CHADEMA Zitto Kabwe,Halima Mdee,na Tundu Lissu kudaiwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ikinge jamii na jamii itakukinga na virusi vya ukimwi...... Hii ni kauli mbiu ya ukimwi toka jamii forums mwaka huu 2012. Nawapenda wote wana jf mungu aepushe janga hili.
0 Reactions
2 Replies
901 Views
wakuu tangu juzi maeneo ya knondon wauzaji wa luku wanalalamika kuwa network hamna,na tumeendelea kukaa giza na joto la mji huu mpaka leo,asubuh nmeenda tena namanga bado wanadai tatizo n...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kumekuwa na tabia ya kuweka picha za marehemu tena zingine zilizoharibika kutokana na ajali kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari.Binafsi nitoe wito wa kuacha tabia...
8 Reactions
46 Replies
5K Views
:A S cry:Question: Two friends of mine argued over a TV program and had to engage in a fight to resolve the matter. Is it true that some of the programs on TV are harmful? Answer...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hamjambo jamani? Niko katika kufanya utafiti kuhusu miundo ya taasisi na mambo yanayozingatiwa katika kuunda ORGANIZATION STRUCTURES ikiwemo Shughuli Mama (Core Function) na majukumu husika...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari zenu,leo ni mwezi mpya na niwamwisho kwa mwaka huu.Nashangaa kuiona serikali inafanya sherehe kubwa za kitaifa zakutumia pesa nyingi wakati watumishi wake hawajapata mishahara mpaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliyekuwa diwani wa kata ya Elerai kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo kabla hajanunuliwa na chama cha Mapinduzi, anatafutwa na polisi baada ya kushindwa kulipa pesa walio amriwa na mahakama...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Hivi leo ni siku ya ukimwi au siku ya maji maana nashangaa rais kuzungumzia masuala ya maji katika hotuba yake na hata kumsimamisha mkurugenzi wa wizara hiyo. Sasa inamaana ile wiki ya maji...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Na: Geofrey Tengeneza BODI ya Utalii Tanzania TTB imekabidhiwa tuzo ya kutambua mchango wake katika kupambana na ugonjwa wa Malaria hapa nchini. Tukio la kukabidhi vyeti hivyo ilifanyika hivi...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Wapenzi wa BBC, ndugu, jamaa na marafiki, Tunawaarifu kuwa ibada ya kumuaga ndugu yetu mpendwa Fred Mtoi, kwa walioko Uingereza itafanyika Jumamosi tarehe Mosi Disemba 2012 katika Kanisa la St...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Ndg zngu napenda kujua je nì jinsi gani? naweza kujua maana ya majina
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Leo katika kipindi cha watoto Magic fm, mwongoza kipindi, anawaambia watoto "Nani anaweza kumuigiliza shallow millionea sauti na nyimbo zake?" kwa upande wangu sijafurahishwa na swali hilo, badala...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
tukitambua umuhimu wa mama na majukumu mazito aliyokuwa nayo baada ya kuzaa watoto kwa kuwaandalia taratibu nzuri za kimalezi ili angalau taifa la kesho liwe ni la kuchapa kazi zaidi kuliko kuwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom