Tunawapeleka wapi hawa watoto?


bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Messages
5,057
Likes
1,630
Points
280
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2011
5,057 1,630 280
Leo katika kipindi cha watoto Magic fm, mwongoza kipindi, anawaambia watoto "Nani anaweza kumuigiliza shallow millionea sauti na nyimbo zake?" kwa upande wangu sijafurahishwa na swali hilo, badala ya kuwauliza maswali ya kishule zaidi unaenda kuwauliza watoto maswali hayo, unam/wafundisha nini m/watoto tena ktk umri mdogo kiasi kile?

Juzi nyumbani kwangu kuna mtoto wa miaka mi 4 alipigwa sana na mamaye kisa kaenda kuwambia watoto wenzie kuwa;
"Mama yake alimwambia akanunue juice ya azam wakati anarudi akakuta mkaka kalala juu ya mama, sasa yeye akaenda akalala pembeni yao Mamaye alipoamka akamchapa sana."
kiukweli yule dada hana mme na anabadilisha wavulana kila siku na anawapanga kwelikweli.Je, wapi tunawapeleka watoto wetu?
 

Forum statistics

Threads 1,237,832
Members 475,675
Posts 29,302,699