Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Miaka ya nyuma hadi kufikia awamu ya pili ya utawala wa mzee ruksa; mzee Punch alikuwa maarufu na kuheshimika sana pale UDSM. Umaarufu wake ulitokana sera na mtindo wake wa kukosoa serikali na...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
kuna moto umetokea dms jana. Jamaa wa zimamoto wakachelewa kufika wamechelewa sana.. Huyu kiongozi wa dsm anahojiwa redion anadai eti walivyofika walianza kwanza kuuliza kuwa moto umetokana na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huu muujiza ni kiboko
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Gari aliyokuwa akiendesha Marehemu Sharomilionea baada ya kuacha njia na kupinduka “Vitu viliwasilishwa na wasamaria wema kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Songa Kibaoni, Abdi Zawadi ambaye alitoa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Watu wanapoteza maisha kwa kukosa dawa na matibabu lakini pia tuna shule zenye wanafunzi wengi,maabara hakuna wala vitabu na walimu waliochoka kati ya hizi huduma mbil ni mtaj wa kisiasa je kipi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo nikiwa nakatiza mitaa ya Ubungo Nimemuona Dr Ulimboka akiwa amchoka sana yaani kaishiwa nguvu Inawezekana bado ana maumivu makubwa Sijui kama anafanya kazi ili kinachoonekana madaktari...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Kuna kampuni nyingi za kenya zinatuma wawakilishi wao wanakuja nchini kwa miezi 3 kufanya tafiti za kimasoko bila vibali... Kisha wanapeleka data kwao... Ni kweli vijana wanapata faida kwa...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Ndugu zangu, hivi karibuni Bw Mapachu alizindua kitabu kiitwacho "CHALLENGING THE FRONTIERS OF AFRICAN INTERGRATION". Nauliza, kinapatikana maduka gani? Mwenye ufahamu atujulishe ninakitafuta sana.
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Wakuu heshima mbele Kuna jamaa yangu ambaye anafanya kazi Mwanza lakini mke wake yuko wizara ya Maji Dar es Salaam kama mtakwimu, jamaa ameishi mbali na mke wake kwa zaidi ya mwaka sasa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
EWURA mko wapi? Mkoa wa Singida hakuna nishati ya mafuta ya taa,n swali hili kwa wakazi wa Singida halina majibu. Kila unapoenda kwenye kituo cha mafuta ya nishati utapata diesel na petrol, mafuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu ni mlango unaosemekana ni njia ya chinichini iliyokuwa ikitumiwa na viongozi wakati wa Ujerumani ikiitawala Tanganyika, sasa kama kweli tungekuwa na juhudi ya kutafuta pesa mlango huu...
0 Reactions
3 Replies
765 Views
Nimeota baba yangu mdogo aliye fariki mwaka jana ananiachia nyumba. Nyumba ni kubwa sana na tupu. pia kuna shimo kubwa mafano wa kaburi pembeni yake. Hii ndoto imeniumiza sana kichwa, nimejaribu...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Habari wana jf Hapa nyumbani nina banda la uwani ambalo natumia kama stoo sasa njiwa wanaweka makazi yao sehemu ya juu ndani ya fisher board..naombeni njia ya kuwafukuza kwani sijui wametokea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ama kweli majirani zetu wa kenya wapo katika kipindi kigumu sana kuelekea uchaguzi mkuu, naangalia willium rutto aliyoingizwa mkenge na tajiri wa kutupwa uhuru kenyata na wao kutengeneza muungano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Profesa Muhongo "Huu mpango wa dharura utakwisha siku ambayo bomba la gesi kwa ajili ya kuzalisha umeme litakapofika Dar es Salaam likitokea Mtwara," alisema. WAKATI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uciku wa kuamkia tarehe 3 mwezi wa 11 nilinunua muda wa maongezi kwa tigopesa wa shilingi 18,000.. Cikupata message kuonyesha kama transaction imefanyika na wala credit haikuingia.. Asubuhi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dr KIKWETE KAMA HUWEZI KUDHIBITI AJALI BARABARANI USIWAAMBIE WATU KUPIMA AU KUEPUKA MAAMBUKIZI mapya! AJALI NDO dirisha KUU LA MAAMBUKIZI KWA SASA ! HAPO VIPI!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, Naomba msaada wa kupata program ya World Atlas. Awali nilikuwa natumia encarta lakini sasa ime corrupt
0 Reactions
3 Replies
818 Views
Kuanzia jana ukipiga zain,inaita voda nyingine,ukipiga voda mara unashitukia imeita zain ya mtu tofauti,tatizo ili ni tangu jana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom