Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wananchi wote wa Tanzania ni lazima mujiulize siku chache zilizopita kwa wale mulioshuudia tukio lile..hapa mjini Arusha..rais wa Uganda, Rwanda pamoja na Burundi hwakuuzuria hafla hiyo.. Tetesi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Za mchana jamani. Naombeni kunijuza sehemu nzuri za kupata massage therapy kwa hapa Dar, ukiweza kuweka na gharama nitashukuru sana na pia sehemu zilipo.
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Hadi leo tar. 2 ya mwezi huu,mishahara ya mwezi Novemba bado haijatoka. Si kwa wenye akaunti kwenye Benki ya Makabwela,Benki ya Taifa ya Biashara,Benki ya Maendeleo Vijijini wala kwingineko...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya chama cha mapinduzi kuelemewa na kashfa za wizi na ufisadi wa mali ya umma huku vijana wake na mawaziri wenye umri mdogo wakiwa wananuka rushwa na kuwa na vito vya thamani kwa haramu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mon, Dec 3rd, 2012 Tanzania | By In2EastAfrica Reporter The Tanzania National Parks (TANAPA) is in the process of building tourist hotels in a number of the country's National Parks...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sunday, December 2, 2012 SHEREHE YA KUWAPONGEZA WAHESHIMIWA YA FANA NEW YORK Sherehe za kuwa pongeza na kuwakaribisha waheshimwa ma balozi picha na matukio, hapa ni meza kuu ambayo waliketi...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Wadau wengi tunatambua ni jinsi gani jina la Kibonde mara litajwapo humu ndani linavyochafua hali ya hewa. Clouds leo wametoa nafasi ya kuwachana kwa kutuma msg, mimi nilikuwa mpenzi mkubwa wa...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Uzito wa Kg 407 wasababisha Vilma Soltesz kufariki dunia baada ya kukataliwa na mashirika matatu ya ndege kupanda kwasababu ya uzito wake ili kusafiri kutoka Hungary kwenda US kwaajili ya...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakati taifa la China lina umri sawa na Tanzania leo China uchumi wake uko juu ,technologia iko juu watu wa China wanakunywa maji safi na kuoga ,hali ipo tofauti hapa Tanzania. Wakazi wengi...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema asilimia kubwa ya Watanzania hawapati haki zao zote kama sheria zinavyoelekeza. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Vodacom acheni uongo NIliamua kufuatilia matangazo ya Vodacom kuhusu kutuma pesa bure – ni uongo, wanakata. Hata ukituma then wakatuma ujumbe kuwa umeongezewa Tshs. 200/= ni uongo tu...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Wanajamii jana usiku maeneo ya tegeta nimepoteza pochi yangu ikiwa na vitambulisho vya kazi leceni ya gari Itm card za NMB Na DCB bima ya AFYA Kadi ya mpiga kura vyote vikiwa na Jina la AMAN...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jengo la Baytil Ajaib “Makumbusho Kuu” labomoka Baiytul Ajaib “House of Wonders” lilivyoathirika Gari likiwa limeangukiwa na kifusi cha sehemu ya jengo lililoporomoka Sehemu ya jengo la...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Minister gives Biz Class seat to special-needs girl By Staff Published Monday, December 03, 2012 Saudi Arabia’s minister of social affairs gave his first class seat to a crippled Bahraini...
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Nitawajuza Update: Jamaa(Majambazi) walikuwa wa4 walitaka kupora fedha kwenye begi ambazo ni zaidi ya mil50 lkn wameshindwa kuzichukua lakini wamempiga risasi ya mguu dereva wa daradara,jambazi...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nilishawahi kueleza tena hapa, na wachangiaji wengi wakaunga mkono. Nimeshapiga customer service zaidi ya mara tano kuhusu hili tatizo, bila mafanikio... Can you imagine.... Nina mgonjwa na nataka...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeona watu wakilalamika sana kuhusiana na suala zima la kuibiwa muda wa maongezi au transaction wanazozifanya kupitia mitandao mbalimbali hapa nchini, na pindi wanapotafuta mtu wa kuweza...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama ilivyo kawaida yetu umoja na upendo ndiyo silaha yetu makamanda wa CHADEMA tukiongozwa kamanda wetu Lema, tutatua mida ya saa sita mchana tukitokea Arusha na usafiri wa fastjet kwenye uwannya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi jamani kwa mara kadhaa nimepita.mandera road na mara nyingi hizi taa za kumulika usiku zinakaa zinawaka, je Tanesco hivi ndo vigezo mtatumia kutupa mgao, kutuuzia nguzo million na uchafu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom