Maana ya majina


ERIC JOSEPH

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
569
Likes
1
Points
35
Age
33
ERIC JOSEPH

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
569 1 35
Ndg zngu napenda kujua je nì jinsi gani? naweza kujua maana ya majina
 
MD25

MD25

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Messages
3,078
Likes
14
Points
135
MD25

MD25

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2012
3,078 14 135
Ndg zngu napenda kujua je nì jinsi gani? naweza kujua maana ya majina
Inategemea ni jina gani (la asili au kizungu). haya ya kiswahili muulize bibi au babu. lakini haya mengine, usiumize kichwa ka-google mkuu..
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,579
Likes
39,004
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,579 39,004 280
kama unataka kujua maana ya jina la kibantu unagugo kienyeji...
Gugo ya kienyeji ni RAMLI
 
charger

charger

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Messages
2,322
Likes
72
Points
145
charger

charger

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2010
2,322 72 145
kwa mfano Bujibuji ni jina lilitokea maeneo ya kongo huko maana yake mlo special kabisa ambao ni uji na samaki mchemsho
 
ERIC JOSEPH

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
569
Likes
1
Points
35
Age
33
ERIC JOSEPH

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
569 1 35
La kizungu au laki bantu?
La wenzetu wa huko mbali ya mashariki ya mbali si unajua asilimia kubwa tunatumia majina ya wenzetu wa ulaya
0
 

Forum statistics

Threads 1,251,853
Members 481,915
Posts 29,787,695