badilikeni dada zetu kwa maslahi ya taifa la kesho!!!

pageup

pageup

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
156
Likes
1
Points
0
pageup

pageup

Senior Member
Joined Oct 12, 2012
156 1 0
tukitambua umuhimu wa mama na majukumu mazito aliyokuwa nayo baada ya kuzaa watoto kwa kuwaandalia taratibu nzuri za kimalezi ili angalau taifa la kesho liwe ni la kuchapa kazi zaidi kuliko kuwa la kingono zaidi,hali imekuwa tofauti kwa wakina mama wengi......
View attachment 73099
huyo mwanamke ni mhudumu wa bar na hukubali kunyanyasika kiasi hicho kwa kisingizio cha kutafuta pesa,na kwa mtazamo wa haraka huyo ni mama na ana watoto,watoto wake watajiskiaje siku wakiona hiyo picture ya mama yao??!!
View attachment 73100
hili tukio la huyo dada kuleweshwa mpaka kuanika nyeti hadharani limetokea site za dar,kwa namna hii kweli tutafika??!!
wakati huo huo chunguza wanaume wote waliopo sehemu ya tukio wamevaa nguo zinazowastiri mwanzo mwisho!!,
kinachowafanya dada zetu mukubali kuianika miili yenu hadharani ni nini??!!
wazungu wanapotusanifu waafrica kuwa ni wapenda ngono na si watu wachapa kazi au wabunifu huwa wanamaanisha nini??!!
View attachment 73101
hii yote inatokana na kisingizio cha ugumu wa maisha na kuzisaka pesa,lakini ukweli ni kwamba wengi hufanya kazi hiyo kama ni njia moja wapo ya kupata hela kibwege na za fasta bila kuumiza kichwa saana na bila kutoa juhudi kubwa yoyote ile zaidi ya kupanua mapaja na kuyabana!!au kugomelewa msumari wa tigo!!
badilikeni dada zetu kwa maslahi ya taifa la kesho!!!
 
sindano butu

sindano butu

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Messages
478
Likes
84
Points
45
Age
31
sindano butu

sindano butu

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2012
478 84 45
we mleta mada wewe ndo unafaa ubadilike wa kwanza.Ni bora usingeona hizo picha na kutuwekea kwenye mtandao wa jamii forum. kuziona hizo picha watu tumeshapata mzuka wa kwenda kuwaona ingawaje si tabia nzuri. ACHA MITEGO MLETA MADA!
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,997
Likes
6,428
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,997 6,428 280
hivi unafikisha ujumbe kwa wanawake wote au aina fulani ya wanawake?

Na hao wanaume unaona wana akili? Au sio mababa hao?

Wote walioko kwenye picha bila kuangalia jinsia ni hovyo tu wabadilike kujenga jamii bora
 
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
3,867
Likes
931
Points
280
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
3,867 931 280
tukitambua umuhimu wa mama na majukumu mazito aliyokuwa nayo baada ya kuzaa watoto kwa kuwaandalia taratibu nzuri za kimalezi ili angalau taifa la kesho liwe ni la kuchapa kazi zaidi kuliko kuwa la kingono zaidi,hali imekuwa tofauti kwa wakina mama wengi......
View attachment 73099
huyo mwanamke ni mhudumu wa bar na hukubali kunyanyasika kiasi hicho kwa kisingizio cha kutafuta pesa,na kwa mtazamo wa haraka huyo ni mama na ana watoto,watoto wake watajiskiaje siku wakiona hiyo picture ya mama yao??!!
View attachment 73100
hili tukio la huyo dada kuleweshwa mpaka kuanika nyeti hadharani limetokea site za dar,kwa namna hii kweli tutafika??!!
wakati huo huo chunguza wanaume wote waliopo sehemu ya tukio wamevaa nguo zinazowastiri mwanzo mwisho!!,
kinachowafanya dada zetu mukubali kuianika miili yenu hadharani ni nini??!!
wazungu wanapotusanifu waafrica kuwa ni wapenda ngono na si watu wachapa kazi au wabunifu huwa wanamaanisha nini??!!
View attachment 73101
hii yote inatokana na kisingizio cha ugumu wa maisha na kuzisaka pesa,lakini ukweli ni kwamba wengi hufanya kazi hiyo kama ni njia moja wapo ya kupata hela kibwege na za fasta bila kuumiza kichwa saana na bila kutoa juhudi kubwa yoyote ile zaidi ya kupanua mapaja na kuyabana!!au kugomelewa msumari wa tigo!!
badilikeni dada zetu kwa maslahi ya taifa la kesho!!!
ongezea picha nyingine mkuu tuisogeze ijumaa yetu kwa utulivu wa kuangalia mapicha
 
K

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
1,279
Likes
219
Points
160
K

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
1,279 219 160
Kizazi cha MAJOKA wala si nyoka tena -Pole mtoa mada kwa kuyaona haya.
 
Forum statistics

Threads 1,236,593
Members 475,219
Posts 29,263,338