Leo ni siku ya ukimwi duniani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,863
30,307
Tangu Disemba 1, 1988 dunia imekuwa ikiadhimisha siku ya UKIMWI duniani. Wazo la kuadhimisha siku hiyo lilitolewa na James W. Bunn naThomas Netter ambao walikuwa ni maofisa habari (Global Programme on AIDS) kwenye Shirika la Afya Duniani. Dhumuni la kuadhimisha siku hiyo ni kutoa fursa kwa watu duniani kote kuungana katika mapambano dhidi ya VVU.

Utepe Mwekundu

Huu ni wakati muafaka kwa jamii nzima wakiwemo wanamichezo pia kutafakari juu ya janga la UKIMWI.UKIMWI UNAUA! CHUKUA HATUA SASA, JILINDE NA MLINDE MWENZAKO…

Tangu Disemba 1, 1988 dunia imekuwa ikiadhimisha siku ya UKIMWI duniani. Wazo la kuadhimisha siku hiyo lilitolewa na James W. Bunn naThomas Netter ambao walikuwa ni maofisa habari (Global Programme on AIDS) kwenye Shirika la Afya Duniani. Dhumuni la kuadhimisha siku hiyo ni kutoa fursa kwa watu duniani kote kuungana katika mapambano dhidi ya VVU.
Utepe Mwekundu
Huu ni wakati muafaka kwa jamii nzima wakiwemo wanamichezo pia kutafakari juu ya janga la UKIMWI.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom