Kwanini Waziri Magufuli amekosea Tunapoongelea utawala wa haki na sheria tunazungumzia ufuataji wa sheria na taratibu zilizopo katika uendeshaji wa nchi yetu kila siku kwa maana tunajua nchi...
Habari zilizozagaa mtaani ni kuwa Bakari mwapachu, yule mzee aliyeshindwa ubunge na Omar Nundu kule Tanga analobby Kikwete amteue kama mwenyekiti wa shirika la ndege la ATCL. Ukweli ni kwamba kama...
Monday, 05 December 2011 21:07
Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu
Ramadhan Semtawa
BENKI Kuu Tanzania (BoT) imesema haitakurupuka kuamua kulipa au kutolipa madeni yaliyopo katika Akaunti ya...
Heshima wanajamvi.
Historia ya Tanganyika kabla ya uhuru na baada ya uhuru imeacha mambo mengi mazuri ambayo si vibaya tukajaribu kuyapitia kwa faida yetu na vizazi vijavyo.
Ningependa kujuzwa...
By JENERALI ULIMWENGU
Posted Sunday, November 6 2011 at 13:11
For a country that once had ambitions of becoming a self-reliant nation, Tanzania is a surprisingly donor-dependent place.
The...
Wakuu pole kwa majukumu mengi ya kujenga taifa hili gumu.
Mie nimepata shida kidogo. Nimekuwa nikiona matangazo mengi kuwa kuna sherehe kubwa sana zaja za kusheherekea miaka 50 ya uhuru wetu...
Naamini kabisa hakuna serikali isyo kosa mazuri yake na mabaya yake japo uwiano kati ya mazuri na mabaya ndiyo hutofautiana. Vivyo hivyo naamini serikali ya awamu ya nne haikosi mazuri yake na...
Ee Bwana, kumbuka yaliyotupata, utazame na kuiona aibu yetu. Urithi wetu umegeuka kuwa mali ya wageni, na nyumba zetu kuwa mali za makafiri... tumekunywa maji yetu kwa fedha na kuni zetu...
Wadau, natamani sana CCM ishindwe uchaguzi Igunga, lkn akili yangu haikubali kabisa kuwa CCM, hata ikishindwa; itakuwa radhi kuachia Jimbo la Igunga kwa sababu zifuatazo;
1. Kushimdwa na kuachia...
Ipo wazi sana sasa kuwa hali ni mbaya!
Kwa yanayoshuhudiwa kutokea katika medani ya siasa zetu,
Hali mbaya hii imefasiliwa na kila msoma alama za nyakati,
Wadau mbalimbali kutoka kila kada wametoa...
To those JK knows personally, I imagine, he is probably quite a nice man.a loving father; a loving husband & obviously, someone who looks out for his friends.
But unfortunately personal isn't...
The meaning behind "Lolote Liwalo" campaign slogan by CUF for Igunga by-election
Guys, For a number of days I have been trying to get a solid meaning behind operation "Lolote Liwalo" but i am...
Kiongozi wa umma anapoonekana kuwa tajiri katika kipindi cha utumishi katika umma tofauti na alivyokuwa kabla ya kuajiriwa utumishi wa umma ni jambo lisilo la kawaida na linafikirisha sana. Hata...
DISCLAIMER: I am not and never have been an employee or beneficiary of any Oil Marketing company or dealer. What has pushed me to do this calculation is in trying to find the truth and in finding...
Kuna wengine wetu tulikua wadogo mwaka 1995 kuweza kufuatilia kinyanganyiro cha uraisi mwaka huo. Ndiyo maana ningependa kujua zaidi nini kilicho jiri ndani ya CCM mpaka kupelekea kumteua raisi...
Kitu kinachoniumiza kichwa hasa kwenye tatizo la umeme ni kujaribu kuelewa ni nani mwenye "suluhisho la kudumu" la kumaliza hili tatizo sugu kwa kila awamu ya urais hasa awamu hizi mbili za...
In a country of "Haves"; a "saw" is one-sided sharp
Hello wana-JF again,
I hardly post this frequent but i just couldn't hold water and keep quiet anymore with the current updates on the...
This is hilarious, kwanza Shein Mzee wa Mikasi orijino (Dr. Omar Juma hakukata tepe sana kama Mzee Orijino) anapewa Urais wa Zanzibar, kisha anamteua kutokana na muafaka Maalim Sefu kuwa mrithi wa...
Robo tatu ya Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula. Kuna watu wanakabiliwa na njaa katika nusu ya wilaya zote nchini na hali haionekani kutengemaa sasa hivi. Serikali inajitahidi...