Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us
Mwaka 2015 sio mbali, na kwa mara nyingine tena watanzania tutapata fursa ya kutumia haki yetu ya kikatiba kumchagua mtu mmoja ambae tunaamini kwamba ndiye atakaefaa kutuongoza kama taifa katika...
15 Reactions
81 Replies
17K Views
Mkapa ajuta • Ahuzunishwa wageni kuhodhi uchumi na Mwandishi Wetu | Tanzania Daima~Sauti ya Watu RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amesema anajutia kitendo chake cha kuliingiza taifa...
1 Reactions
72 Replies
13K Views
Hakuna kitu sikipendi kama Unafiki na sintaweza kuvumilia hata ikiwa kipenzi changu ndiye mkisiwa..Mh.Zitto naomba sana maelezo yako... habari ndio hii:- From foes to partners: Tales of Zitto...
23 Reactions
272 Replies
39K Views
Mambo mengi yamesemwa kuhusu tatizo la umeme nchini Tanzania, mimi nitaanza kwa kugusia mambo machache yanayoonyesha matatizo ya umeme yalivyokuwa makubwa ndani ya bara letu la Afrika...
6 Reactions
88 Replies
14K Views
Wadau. NIMEKAA nikitafakari utendaji wa idara yetu ya Usalama wa Taifa. Hii ni taasisi muhimu sana kwa usalama wa nchi na wananchi wake, nchi zote idara hii ina heshima kubwa ndani ya jamii. Kwa...
12 Reactions
39 Replies
7K Views
Hii ni mchango katika kupambana na lindi la umaskini kwa mtu mmoja mmoja na hatimaye nia iweze kuingia miongoni mwetu ili kubadilisha mitazamo yetu(Taifa kwa ujumla)
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni jambo lisilohitaji mjadala kwamba serikali ya awamu ya nne, hasa katika kipindi cha minne imefeli katika maeneo yote yanayohusiana usimamizi wa rasilimali za nchi kwa manufaa ya walio wengi na...
7 Reactions
18 Replies
4K Views
Niliwahi kusema hapa kwamba wanaomshauri raisi na kumuandikia Hotuba walikuwa wanaboa, kwakuwa hawakuwa hata wana-capture issues muhimu na kumfanya Raisi aongelee vuvumi na mambo ambayo mengine...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Rejea thread ya Roulette ya tarehe 19 mwezi huu (Link) kua leo kutakua na mjadala kati ya Matola na zomba kuhusu tathmini ya utawala wa Rais Kikwete tokea aingie madarakani mwaka 2005 hadi sasa...
32 Reactions
103 Replies
16K Views
Madudu mengi na ya hatari yanayotokea katika siasa za nchi yetu yanaashiria kuwa idara yetu ya Usalama wa Taifa imefika mwisho kiutendaji. Ebu ona:- -Rais akamteua Chenge baada ya kuvunjwa kwa...
8 Reactions
215 Replies
43K Views
Mjomba wangu daktari, salamu sana, Ama baada ya salamu, Kwanza nitoe shukrani kubwa kwa kunirudishia majibu ya kina nilipokuuliza swali kwa nini mama na mpenzi wake baba waliamua kuniita...
31 Reactions
33 Replies
8K Views
Science is a systematic enterprise that builds and organizes knowledge in the form of testable explanations and predictions about the universe. Aristotle: Science refers to the body of reliable...
7 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia ukuaji wa uchumi wa daftari wa nchi zetu za Africa Mashariki hasa (Tanzania, Kenya na Uganda). Leo naomba wajuzi watusaidie kujua zaidi.. Uchumi wa daftari wa Tanzania...
2 Reactions
17 Replies
12K Views
Hamna afadhali, tunabaguliwa na watu wote. Wahindi, Wachina, Warusi, Wayahudi, Walatini nakila jamii zinatuona kama takataka. Hivi kibaya ni kipi haswa ambacho tumekifanya? Thousands of Israelis...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Wana JF, Imefika wakati sasa kuanza kuhoji nani haswa ni Mzanzibari Asilia kihistoria maana tunakoenda sasa si huko na katika kujua haya inatupasa kupitia historia yetu hata kabla Waajemi na...
5 Reactions
15 Replies
7K Views
Heshima Mkuu! Professor Ali Mazrui katika moja ya kitabu chake "The African Condition" aliandika Mwl. Nyerere is an "Intellectual Cannibal". Baada ya kusoma context ya matumizi ya maandishi...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni Lini WatanzaniaTutaelewa Dhana ya Mabadiliko? NA GODFREY KASSANGA DHUMUNI kubwa la Tanganyika chiniya TANU, enzi zile za Mwl J K Nyerere, kudai uhuru kutoka kwa Wakoloni lilikuwani kuikomboa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika siku za hivi karibuni dhana ya ukabila/udini na umimi imekuwa inachukua nafasi kubwa sana hasa baada ya msuguano wa kisiasa kuonekana unakuwa mkubwa hapa nchini. Nakumbuka katika hotuba...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nini tunajifunza kutokana na kinachoendelea kwenye baadhi ya nchi za kiarabu hasa, Libya, Misri nk. Kabla ya mabadiliko ya tawala zao eg. Gadafi na kinachoendelea baada ya hayo mabadiliko... Is...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
Matatizo ya Nchi yetu yameongelewa kwa wingi wake na sasa imefikia hatua wananchi wanakata tamaa na kuona hawana cha kufanya juu ya yanayoendelea kutokea katika nchi yao. Hawawezi tena kukabiliana...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom