Kwa Makala Hii ya Daraja la Kigamboni Mwanakijiji Kachemsha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Makala Hii ya Daraja la Kigamboni Mwanakijiji Kachemsha

Discussion in 'Great Thinkers' started by Waberoya, Feb 2, 2012.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Nakala hii imebeba mambo matano makubwa

  1. Historia ya daraja la kigamboni
  2. Ufisadi
  3. Uwezo na tabia ya magufuli
  4. NSSF na kutoa misaada
  5. UUzwaji wanyumba za serikali


  Update:

  1. Imeeleweka na muanzisha thread kuwa MMKJJ hakupeleka ile nakala Mwanahalisi, mwanahalisi waliichukua nakala yake kutoka Tanzania Daima na kuifanyia editing

  2. Tunajadili sasa nyumba za serikali kwa nini ziliuzwa

  3. Umuhimu wa daraja la Kigamboni

  My take:

  Daraja la Kigamboni halina faida kwa Tanzania ya sasa inayoanzia Kigoma mpaka Dar, inayoanzia Nachingwea mpaka Biharamulo!!! ukisasa huu tunaoutafuta hatuja tengeneza foundation yake.

  Daraja hili ni mradi wa watu wachache ili watimize ndoto yao ya kijenga jiji la kimataifa! is not ours


  MODS NAOMBA TITLE YANGU YA AWALI IRUDI.....I expected this!
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,059
  Trophy Points: 280
  Waberoya,

  ..basi na daraja la Kigamboni nalo itabidi mseme kwamba ni uamuzi wa baraza la mawaziri na Magufuli hastahili pongezi zozote zile.

  ..kwanza ni lazima uelewe kwamba nyumba za serikali zilikuwa chini ya mamlaka na dhamana ya wizara iliyokuwa ikiongozwa na Waziri Magufuli.

  ..maamuz ya baraza la mawaziri hufikiwa baada ya Waziri mhusika kuwasilisha hoja, na kuitetea, mbele ya kikao cha baraza la mawaziri.

  ..kwa msingi huo Magufuli ndiyo alilishawishi baraza la mawaziri lichukue uamuzi kuidhinisha uuzwaji wa nyumba za serikali kwa bei poa.

  ..pamoja na hayo, Magufuli alikwenda mbali zaidi na kulidanganya bunge kwamba uuzaji wa nyumba kwa bei poa ulikuwa ni kwa maslahi ya taifa, pia ungeleta faida kwa serikali, na ku-generate fedha za kutosha kujenga nyumba mpya za watumishi wa serikali.

  ..mwisho, Magufuli alikiuka maagizo ya baraza la mawaziri kwa kuuza baadhi ya nyumba kwa watu wasiostahili kama ndugu zake pamoja na vimada.

  NB:

  ..kama Magufuli anadai alikuwa haungi mkono zoezi lile, basi ajitakase yeye binafsi kwa kurudisha serikali nyumba aliyojitwalia. zaidi awaelekeze ndugu zake, pamoja na vimada wake, nao warejeshe nyumba hizo serikalini.
   
 3. m

  moshingi JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kwamba lengo lako ni kumtetea Magufuli, lakini ukweli ni kwamba
  Hasira za watumishi wa Serikali na mashirika ya uma (ambao asilimia kubwa wanateseka
  na adha ya nyumba za kuishi wakati nyumba walizogawana akina Magufuli zimepangishwa
  au zipo wazi na walinzi tu), haziwezi kufichwa...Itakumbukwa jinsi wakati ule alivyojibu kwa kejeli(kama ilivyo kawaida yake)
  wale waliohoji uuzwaji wa nyumba za Serikali, huu ni mpango aliouanzisha mwenyewe na kupata baraka za BM.
  Majibu aliyoyatoa kwa Wanakigamboni hivi majuzi yanakumbusha alivyouza nyumba zetu
  Mpaka leo Serikali haijaweza kujenga japo nusu ya nyumba alizoziuza...Kweli huu ni ujasiri wa kifisadi
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hilo la nyumba, lina nafasi gani na ujenzi wa daraja?
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Waberoya karibu saana.......
  hizi doubts ulizo nazo kwa Mwanakijiji hata mimi nakuunga mkono

  nahisi kuna kitu hatukijui


  Tatizo ana watu kama 'cult followers'
  c
  hochote akisema kinaungwa mkono...

  asante kwa kuliona hilo
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Asante sana Jokakuu kwa maelezo mazuri. mara nyingi huwa tunaongea hoja zetu bila kufanyia utafiti wa kina. Haya maelezo yako yanatoa mwanga kwa mtoa mada kuchimbua zaidi ili thread yake iweze kueleweka anataka kufikisha ujumbe gani.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Its like we are being compelled by the presenter to discuss an individual, and not the matters....to dance to his death-song!...huh!....Thanks Jokakuu for your outlook!
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Acha hizo PJ, uko kama huyu
  [​IMG]
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,059
  Trophy Points: 280
  ..mpaka sasa hivi sijui faida za ujenzi wa hili daraja ni zipi.

  ..je, ktk madaraja yote yanayotakiwa kujengwa, hili la kigamboni lina umuhimu kuzidi hayo mengine?
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji ana matatizo kuangalia mambo ki-nyerereism; kila kitu amefanya au ulikuwa mpngao wa nyerere..maradhi makubwa.
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,550
  Trophy Points: 280
  Mkuu Waberoya, kwanza welcome back.
  MMKJJ ni writer, the only time when he has nothing to write its the time when he stops thinking.

  Hata ma great writers wengi walianza kwa kuandika madudu ila pia hata ikiandika madudu kiasi gani bado kuna readers hiyo ndio taste yao ndio maana kuna kina James Hadley Chase au familia za Millis and Bones huku kuna kina Robert Ladlum. Fredrick Forth and the like na wote sio tuu wana wasomaji bali wana followers!. So do MMKJJ ana readers na followers wake kule na humu!.

  Japo binafsi sikuisoma hiyo makala ila jamaa namkubali kama one among the best jf has!.

  Karibu tena!.
   
 12. s

  shadhuly Senior Member

  #12
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  hili daraja la kigamboni linaonekana kutomfurahisha mwanakijiji na haswa kwamba na ya awamu ya nne linajengwa.upande mmoja tunaambiwa ilikuwa ni idea ya nyerere na anatakiwa asifiwe kwa hilo na kuona mbali.upande mwengine tunaambiwa halina tija kwa taifa so which is which.huku idea inasifiwa sababu nyerere ndo aliitoa huku ujenzi unapingwa hauna tija.

  mkijij anajulikana mapenzi yake makubwa kupitiliza juu ya nyerere hakuna baya kwake na atajitahidi kwa nguvu zake zote atetee hata km ukweli upo wazi.so ukimjua msimamo wa mtu hutapata shida ukisoma makala yake utachambua na kuweka ktk mizani iliyosawa ili upate inform sahihi
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Then the title were supposed to be 'about magufuli and the house' kazungumza vitu vingi mno, havina connection, mkuu tafuta gazeti soma, ni aibu! siyo mwanakijiji yule! sina lengo la kumtetea magufuli....soma signature yangu utanielewa!
   
 14. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  You don't need to have followers, you need to feed hungry mind, mimi ni follower wake, ila kama chakule ni kile, basi kimechakachuliwa! lazima kuna emotional au saikolojiko problem somewhere! atapike tu kila kitu!
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  that could be a topic1
  maswali mengine, ambayo nilitegema angem'bana magufuli ni kwanini daraja hili lijengwe baada ya mpango wa kuanzisha ule mji wa kisasa???

  I insist the article was not consistent
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Tunafanya nini sasa baada ya kujua kuwa magufuli aliuza nyumba?? AOMBE MSAMAHA?? mwanakiji ndiyo katoa hiyo solution!!! LMAO!!!
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  tunawaona mkuu....Believe me, mwanakiji is better than that!

  aseme tu alicho nacho, atapike tutamsaidia...ila kuua brain za watanzania kwa article nyepesi na hafifu kutoka kwake is not fair,

  si kwa mnunuzi tu hata kwake mwenyewe. He is a mentor and brainy...lakini ile article haina kichwa wala miguu, pengine akina kubenea wamekosea jina la mwandishi!

  so sad
   
 18. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  na wewe una discuss na kukubaliana alichoandika Joka kuu, it seems hujaelewa maada mkuu! Mwanakiji is better than that, if and only if you have an open mind!
   
 19. T

  Topical JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hata mimi sijawahi kuona faida ya daraja hilo for sure,

  Wangeweza kutumia fedha hizo kujenga mtandao wa reli au something else..

  Nafikiri kuna mkono mkubwa wa investors;
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji na wewe unamkuza sana bana! aagh

  Huyu hawezi kuandika story zake zaidi ya kulenga yafuatayo:-

  a. Pro nyerereism b. Against wazanzibar (wanaopinga muungano) c. Against JK d. Islamophobia

  Tangu aanze kuandika na atabaki hivyo kwasababu ni maradhi yake makubwa hana lolote..
   
Loading...