Counting our losses. Mgomo wa makatari

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,891
11,288
I am forced to post this kwenye jamii intelligence kwani naamini mgomo wa madaktari umesababisha huge damages to our system na hasa kwenye kulinda usalama wa raia ingawa media na serikali zinajaribu sana kufunga masikio na macho kuhusu life losses, government reputation na general risk ya spill-over effect!!

I have lost a blood relative, but one thing i know, kwenye msiba... hakuna aliyelaumu madaktari bali wengi walilaumu serikali... REALLY BAD!!

i hope kutakua na prevention kwani kada nyingine zikiingia, mapinduzi ya ufahamu yatatokea na sijui kama serikali iko tayari kutoa kafara baadhi ya watumishi wanaokula na wakubwa!!!!

THIS IS NOT "SYSTEM AT WORK" BUT "SYSTEM BEING WORKED ON"
 
Ni moja ya migomo ambayo madaktari walijipanga siku nyingi....karibu kila mtu analaumu serikali hasa Pinda na JK wake.
 
Back
Top Bottom