Kitu kinachoniumiza kichwa hasa kwenye tatizo la umeme ni kujaribu kuelewa ni nani mwenye "suluhisho la kudumu" la kumaliza hili tatizo sugu kwa kila awamu ya urais hasa awamu hizi mbili za...
In a country of "Haves"; a "saw" is one-sided sharp
Hello wana-JF again,
I hardly post this frequent but i just couldn't hold water and keep quiet anymore with the current updates on the...
This is hilarious, kwanza Shein Mzee wa Mikasi orijino (Dr. Omar Juma hakukata tepe sana kama Mzee Orijino) anapewa Urais wa Zanzibar, kisha anamteua kutokana na muafaka Maalim Sefu kuwa mrithi wa...
Robo tatu ya Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula. Kuna watu wanakabiliwa na njaa katika nusu ya wilaya zote nchini na hali haionekani kutengemaa sasa hivi. Serikali inajitahidi...
Nikirejea mahojino kati ya Rais Kikwete na mwandishi wa BBC majuzi kuhusiana nasuala la umeme, hisia kadhaa zinakuja akilini mwangu, masikitiko, kicheko na hasira!
Kama nilitarajia majibu yenye...
(picha toka blogu ya Zanzibar Daima)
By. M. M. Mwanakijiji
I have been looking for some words to adequately describe our political situation in the country; I have found none that are good...
Nani anakwambia tunaendelea?
Huyo anaetakiwa kusema amekua akitoa vigezo gani? Kuongezeka kwa pato la taifa kwa kiasi gani ukilinganisha na miaka iliyopita? Anatuambia kweli? Nini mauzo ya bidhaa...
What is this with Tanzania power projects where the government is always looking for the 100mw or below to supply power?
When you look at the power crisis facing Tanzania and examine all projects...
Kuna quality za rais wa nchi na kuna quality za usanii!
Kuna busara ya kuwa kiongozi wa nchi na kuna busara ya kuwa kiongozi wa vikao vya harusi!
Bahati mbaya kuna namna ya kulazimisha mtu...
Mr. President,
I would like to offer my congratulations for your victory to lead Tanzania for the second term.
I know this year elections were not piece of cake to your party CCM and its...
Na. M. M. Mwanakijiji
Utangulizi
Tatizo la upungufu wa nishati nchini linatafutiwa kisingizio. Naam, limetafutiwa kisingizio na kisingizio hicho kinazidi kukuzwa mbele ya macho yetu na kufanywa...
MAPENDEKEZO YA MUUNDO WA BARAZA LA MAWAZIRI 2010- NA SABABU ZAKE
Na. M. M. Mwanakijiji
Ni mara chache sana katika kipindi cha utawala tunaweza kupata nafasi ya kutoa mawazo juu ya muundo wa...
You know what, I think this guy will be fit to be the President of Tanzania. He is a savvy, efficient and cunning! If he is the brain wizard who lifted CCM to where it is today by being teh force...
Hii ni sehemu ya hansard ya siku ya Julai 15, 2001 (Ijumaa iliyopita) ambapo Zitto alipata nafasi ya kutoa mchango kwenye mapendekezo ya bajeti ya Nishati na Madini. Amezungumzia kwa kirefu kuhusu...
Kuna dadangu mdogo mmoja anataka kuja kusomea mambo hayo ya forensics (nadhani amekuwa kiangalia CSI na NCSI too much) na sasa anataka kujifunza mambo hayo ili kusaidia katika mambo ya kupambana...
It is time for Mr. Rostam Aziz to resign. It is time for him to call quit all his political posts within the ruling party including resigning as the current MP for Igunga. I for one have had...
Wakati tunagombania ulaji wa Vitambulisho vya Taifa, ni lazima tuwe wakweli tujiulize huu uharaka wa kukamilisha hili zoezi, huku ukweli ni kuwa ni asilimia 25 (25%) au juu kidogo ndio watakuwa na...
Kuna kitu nimejaribu kukufanyia utafiti mdogo kwa ajili ya hoja yangu ambayo itaonesha kuwa tatizo la umeme Tanzania linahusiana na CCM hasa baada ya Rais Mwinyi, likaendelezwa na CCM chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.