Gogovivu45
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 229
- 133
NCHI ZIPI HIZO ZA KWENDA???.Ukiwa blocked USA ina maana na washirika wa USA wanakuwa wameku block pia.Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..
USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..