Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,608
- 93,384
Mimi nimeweka mafuta leo kwenye mkweche wangu.Muongo wewe mafuta labda yako huko deep see vituo kibao Dar havina mafuta
Msiwaletee watu hofu isiyokuwepo, yule shetani mungu wenu ameshakufa na yupo kuzima, hawezi kurudi, kubalini matokeo tu.