Mkurugenzi TPDC abadili gia angani, asema hakuna uhaba wa mafuta nchini

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,426
7,737
Mkurugenzi wa shirika la maendeleo ya petroli Tanzania amesema Tanzania haina uhaba wa mafuta nchi ikiwa ni tofauti na kauli iliyonukuliwa na gazeti la Nipashe wakati akiongea na wanahabari. Mapema January Makamba alikanusha Tanzania kuwa na uhaba wa mafuta na kumtaka mkurugenzi huyo kwenda kujieleza ofisini.

Pia, soma=> Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka mkurugenzi TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

=> TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15

Mataragio alisisitiza kuwa Tanzania ina akiba ya kutosha ya mafuta.

"Ningependa kutoa ufafanuzi kuhusu habari ambayo imeandikwa leo na gazeti la Nipashe, ambayo inasema kwamba nchi hii ina mafuta ya kutosha kwa siku kumi na tano(15). Hiyo siyo kweli kabisa, nchi yetu ina mafuta mengi ya kutosha."

"Kitu ambacho nimeongea jana niliongelea uwezo wa nchi katika kuhifadhi mafuta, na nikasema kwamba mipango ya nchi kupitia TPDC tuongeze uwezo wetu wa kuhifadhi mafuta kwenda miezi mitatu(3) mpaka miezi sita(6)."

"Kwa hiyo nipende kuchukua nafasi hii kuwahabarisha wananchi wote kwamba hakuna haja ya taharuki, mafuta tunayo ya kutosha, na tuna uwezo wa kuwahudumia bila shida, kwa hiyo haina haja ya kupanic kwamba mafuta hayatoshi au kuna upungufu wa mafuta."

Matarajio.jpg
 
Mkurugenzi wa shirika la maendeleo ya petroli Tanzania amesema Tanzania haina uhaba wa mafuta nchi ikiwa ni tofauti na kauli iliyonukuliwa na gazeti la Nipashe wakati akiongea na wanahabari. Mapema January Makamba alikanusha Tanzania kuwa na uhaba wa mafu na kumtaka mkurugenzi huyo kwenda kujieleza ofisini.

View attachment 2007844
Aitishe press.
Hilo bango si wanatengeneza tu wamlishe maneno 😀😀😀
 
Mkurugenzi wa shirika la maendeleo ya petroli Tanzania amesema Tanzania haina uhaba wa mafuta nchi ikiwa ni tofauti na kauli iliyonukuliwa na gazeti la Nipashe wakati akiongea na wanahabari. Mapema January Makamba alikanusha Tanzania kuwa na uhaba wa mafu na kumtaka mkurugenzi huyo kwenda kujieleza ofisini.

Pia, soma=> Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka mkurugenzi TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

=> TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15

View attachment 2007844
UGUMU WA AJIRA KUNA WATU WAMEJIPELEKA KWENYE UANDISHI BILA WITO....WANAVURUGA , WANASHINDWA KU ANALYSE NA KURIPOTI
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya TPDC, Dk James Mataragio, amekanusha taarifa za uhaba wa mafuta nchini Tanzania zilizoripotiwa na gazeti Nipashe, akisema hakuna sababu ya hofu.

Mataragio alisisitiza kuwa Tanzania ina akiba ya kutosha ya mafuta.

"Ningependa kutoa ufafanuzi kuhusu habari ambayo imeandikwa leo na gazeti la Nipashe, ambayo inasema kwamba nchi hii ina mafuta ya kutosha kwa siku kumi na tano(15). Hiyo siyo kweli kabisa, nchi yetu ina mafuta mengi ya kutosha."

"Kitu ambacho nimeongea jana niliongelea uwezo wa nchi katika kuhifadhi mafuta, na nikasema kwamba mipango ya nchi kupitia TPDC tuongeze uwezo wetu wa kuhifadhi mafuta kwenda miezi mitatu(3) mpaka miezi sita(6)."

"Kwa hiyo nipende kuchukua nafasi hii kuwahabarisha wananchi wote kwamba hakuna haja ya taharuki, mafuta tunayo ya kutosha, na tuna uwezo wa kuwahudumia bila shida, kwa hiyo haina haja ya kupanic kwamba mafuta hayatoshi au kuna upungufu wa mafuta."

Hata hivyo hakusema kuna uhaba wa mafuta. Ni waandishi makanjanja kama wewe uelewa mdogo mkatafsiri tofauti na alivyosema.

Alichokisema mkurugenzi wa TPDC ni kile kile kilichosemwa na Makamba baada ya kurudi kutoka Uarabuni.
 
TPDC nikajua wanafanya tafiti za mafuta yaliyoko ndani ya ardhi aliyotujalia Mwenyezi Mungu kumbe core business yao ni kufuatilia stock ya mafuta yaliyoagizwa nje, ku-determine re-order point, na kutoa taarifa kwa umma! Kazi ipo!
 
Mkurugenzi wa shirika la maendeleo ya petroli Tanzania amesema Tanzania haina uhaba wa mafuta nchi ikiwa ni tofauti na kauli iliyonukuliwa na gazeti la Nipashe wakati akiongea na wanahabari. Mapema January Makamba alikanusha Tanzania kuwa na uhaba wa mafuta na kumtaka mkurugenzi huyo kwenda kujieleza ofisini.

Pia, soma=> Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka mkurugenzi TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

=> TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15

Mataragio alisisitiza kuwa Tanzania ina akiba ya kutosha ya mafuta.

"Ningependa kutoa ufafanuzi kuhusu habari ambayo imeandikwa leo na gazeti la Nipashe, ambayo inasema kwamba nchi hii ina mafuta ya kutosha kwa siku kumi na tano(15). Hiyo siyo kweli kabisa, nchi yetu ina mafuta mengi ya kutosha."

"Kitu ambacho nimeongea jana niliongelea uwezo wa nchi katika kuhifadhi mafuta, na nikasema kwamba mipango ya nchi kupitia TPDC tuongeze uwezo wetu wa kuhifadhi mafuta kwenda miezi mitatu(3) mpaka miezi sita(6)."

"Kwa hiyo nipende kuchukua nafasi hii kuwahabarisha wananchi wote kwamba hakuna haja ya taharuki, mafuta tunayo ya kutosha, na tuna uwezo wa kuwahudumia bila shida, kwa hiyo haina haja ya kupanic kwamba mafuta hayatoshi au kuna upungufu wa mafuta."

wafuasi wa Chadema kama kawaida yao na tabia zao za kigaidi za kutaka nchi iwe ktk taharuki na shida,
muda wote wao wanataka habari mbaya ziikumbe Tanzania.
kweli nimeamini wafuasi wa mboe wana chembe chembe za kihalifu.
 
ukiwafuatilia wafuasi wa mboe utagundua mara zote kunapokuwa na tatizo kama nchi basi huwa wao wana shangilia sana.
hawa watu ni hatari sana, mwaka 2025 hawafai hata kupata kiti kimoja cha ubunge.
 
Basi alinukuliwa vibaya; hii inchi inaendeshwa kwa uongo na unafiki kwa asilimia 80. Ndo maana haiendelei
Na uhakika ndio alimaanisha hivyo ila unaita press ili iweje? kwani lazima kuongea na press wakati hakukuwa na umuhimu wowote. TPDC ni marehemu siku nyingi mlishindwa kuendesha shirika wakati mlikuwa hamna mshindani ndio mtaweza leo. Mkurugenzi tulia ofisini kwenye AC kula mshahara basi acha kuingilia mambo ya kuita press kushinda tender moja tu na mwembwe za press mbona wale washindi wengine wanachukuwa chao kimyaa. Sasa wamekuweka kwenye corner na uhakika unajuta hata kwanini uliita press.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom