Nyani wa Somanga
JF-Expert Member
- Jan 21, 2026
- 411
- 563
Kwani we uoni mkuu?Wadanganye wajinga wenzio
Kwani we uoni mkuu?Wadanganye wajinga wenzio
Unaweza ukakuta Anna Frank Lema maarufu "Happiness" ndiyo akawa kiini cha hilo tukio. Halafu mjukuu wangu nina swali!Nataka kusikia ni kosa gani marehemu aliwafanyia wakaona adhabu inayofaa ni kukata kichwa taratibutaratibu.
Babu unataka kuniponza! Kila nikiwaza kutekwa kupo palepale na hakuna kitu tutafanya zaidi ya kuwaachia majonzi wapendwa wetu basi moyo wangu umejawa na hofu tu.Natambua wewe ni mtaalam wa haya mambo. Hebu ingia chimbo unipatie majibu.
Miaka kama 2 au 3...nilipokonywa mkoba una hela ndefu, hapo hapo kigogo sambusa, mbona nilimkimbiza huyo kibaka hadi huko kwao shimoni, wakaka wakanisaidia kumdunda akaonesha alipourusha kwenye pagala!Kigogo hapo kuna watu wamevurugwa sana
Hapana sijasema wasiguswe, lakini kwa vyombo vyetu vya dola jinsi vilivyo huwa wana ku pressure na wana ku treat as if wewe ndiye muhusika mwenyewe hali ya kuwa ni mtuhumiwa. Jaribu kufuatilia hata kesi za nje ya nchi ambapo vyombo vyao vina weledi, kama ni mtuhumiwa utaitwa kwenye mahojiano, wataanza kukufuatilia miendendo yako n.k.. unakuwa under surveillance.Kwahiyo mkuu unashauri aliyeongea na marehemu au aliyekuwa na marehemu kwa mara ya mwisho wasiguswe?
Daaah malizia mkuu asee!Hapana sijasema wasiguswe, lakini kwa vyombo vyetu vya dola jinsi vilivyo huwa wana ku pressure na wana ku treat as if wewe ndiye muhusika mwenyewe hali ya kuwa ni mtuhumiwa. Jaribu kufuatilia hata kesi za nje ya nchi ambapo vyombo vyao vina weledi, kama ni mtuhumiwa utaitwa kwenye mahojiano, wataanza kukufuatilia miendendo yako n.k.. unakuwa under surveillance.
Huku kwetu hata ukiokota simu , halafu ikawa na kesi labda mmiliki aliuawa, aisee utajuta, unaweza kukiri wewe ndiye ulimuua huyo aliye fariki. Kwanza kuigwa ni kawaida.
Mambo ya jabu ajabu sana. Tafuta lile tukio la kulipuliwa kwa ubalozi wa US nchini Tanzania , askari walikuwa wanakamata watu hovyo, walikamata hadi walevi na wale watukutu mtaani kwamba ndio magaidi wali lipua ubalozi wa US.
FBI walipofika wakasema hawaoni gaidi hata mmoja na wakawashauri wasiwe wanashtumu watu hovyo pasipo kujiridhisha...
Soma hii... kuhusu shambulizi la kigaidi ubalozi wa US nchini Tanzania
“Baada ya Ubalozi kulipuliwa sisi polisi tulifanya kazi moja tu. Hatukufanya uchunguzi, ila hatua ya kwanza ilikuwa ni kukamata kila aliyekuwa jirani na Ubalozi, aliyepita au tuliyemwona anapepesa macho. Baada ya siku tatu mahabusu za Central Polisi, Oysterbay na Salender zote zilijaa watuhumiwa. Ilikuwa hawana hata mahala pa kukanyaga, maana tulikuwa tunakamata kila tuliyemshuku.
“Baadaye walikuja askari wa FBI kutoka Marekani. Wakasema mbona mmekamata watu wengi hivi? Tukawaambia tunawashuku. Wakasema hapana. Haki za binadamu haziendi hivyo. Hapaswi kukamatwa mtu kwa kumshuku, bali mtu anakamatwa baada ya kufanya uchunguzi na kupata ushahidi usiotiliwa shaka. Tukawauliza sasa tufanyeje?
“Wale FBI walisema leteni meza hapa nje. Tukapeleka meza. Wakasema waiteni wote wanaotuhumiwa mliowakamata kisha apite mmoja mmoja tutawaambia nani ni gaidi au ameshiriki kulipua ubalozi. Tukaweka meza, tukawaita watuhumiwa wakapita mmoja baada ya mwingine. Walikuwa wengi kweli. FBI baada ya zoezi lile wakasema waachieni wote hawa hakuna mtuhumiwa hata mmoja. Tukawauliza, tukiwaachia tutaanzia wapi upelelezi? Wakatwambia waachieni tu, tutazungumza. Tukawaachia.
“Tulipoingia kwenye kikao, wakasema wale wote mliowakamata hawajui lolote katika tukio la kulipua Ubalozi. Wakatuuliza tunaweza kupata askari anayelifahamu vizuri Jiji la Dar es Salaam? Tukawaambia ndiyo. Wakasema mleteni. Akaletwa (jina linahifadhiwa) kutoka makao makuu. Wakamuuliza unafahamu eneo linaloitwa Kimara? Akasema ndiyo. Wakasema tupeleke.....
Mitaa michafu sana ilee, poleeMiaka kama 2 au 3...nilipokonywa mkoba una hela ndefu, hapo hapo kigogo sambusa, mbona nilimkimbiza huyo kibaka hadi huko kwao shimoni, wakaka wakanisaidia kumdunda akaonesha alipourusha kwenye pagala!
Hilo likibaka linaitwa Dudu, kama kuna mtu anaishi hiyo mitaa atakuwa analijua
Mkuu hii story inapatikana wapi!?, ilianza kunoga kama movie..Hapana sijasema wasiguswe, lakini kwa vyombo vyetu vya dola jinsi vilivyo huwa wana ku pressure na wana ku treat as if wewe ndiye muhusika mwenyewe hali ya kuwa ni mtuhumiwa. Jaribu kufuatilia hata kesi za nje ya nchi ambapo vyombo vyao vina weledi, kama ni mtuhumiwa utaitwa kwenye mahojiano, wataanza kukufuatilia miendendo yako n.k.. unakuwa under surveillance.
Huku kwetu hata ukiokota simu , halafu ikawa na kesi labda mmiliki aliuawa, aisee utajuta, unaweza kukiri wewe ndiye ulimuua huyo aliye fariki. Kwanza kuigwa ni kawaida.
Mambo ya jabu ajabu sana. Tafuta lile tukio la kulipuliwa kwa ubalozi wa US nchini Tanzania , askari walikuwa wanakamata watu hovyo, walikamata hadi walevi na wale watukutu mtaani kwamba ndio magaidi wali lipua ubalozi wa US.
FBI walipofika wakasema hawaoni gaidi hata mmoja na wakawashauri wasiwe wanashtumu watu hovyo pasipo kujiridhisha...
Soma hii... kuhusu shambulizi la kigaidi ubalozi wa US nchini Tanzania
“Baada ya Ubalozi kulipuliwa sisi polisi tulifanya kazi moja tu. Hatukufanya uchunguzi, ila hatua ya kwanza ilikuwa ni kukamata kila aliyekuwa jirani na Ubalozi, aliyepita au tuliyemwona anapepesa macho. Baada ya siku tatu mahabusu za Central Polisi, Oysterbay na Salender zote zilijaa watuhumiwa. Ilikuwa hawana hata mahala pa kukanyaga, maana tulikuwa tunakamata kila tuliyemshuku.
“Baadaye walikuja askari wa FBI kutoka Marekani. Wakasema mbona mmekamata watu wengi hivi? Tukawaambia tunawashuku. Wakasema hapana. Haki za binadamu haziendi hivyo. Hapaswi kukamatwa mtu kwa kumshuku, bali mtu anakamatwa baada ya kufanya uchunguzi na kupata ushahidi usiotiliwa shaka. Tukawauliza sasa tufanyeje?
“Wale FBI walisema leteni meza hapa nje. Tukapeleka meza. Wakasema waiteni wote wanaotuhumiwa mliowakamata kisha apite mmoja mmoja tutawaambia nani ni gaidi au ameshiriki kulipua ubalozi. Tukaweka meza, tukawaita watuhumiwa wakapita mmoja baada ya mwingine. Walikuwa wengi kweli. FBI baada ya zoezi lile wakasema waachieni wote hawa hakuna mtuhumiwa hata mmoja. Tukawauliza, tukiwaachia tutaanzia wapi upelelezi? Wakatwambia waachieni tu, tutazungumza. Tukawaachia.
“Tulipoingia kwenye kikao, wakasema wale wote mliowakamata hawajui lolote katika tukio la kulipua Ubalozi. Wakatuuliza tunaweza kupata askari anayelifahamu vizuri Jiji la Dar es Salaam? Tukawaambia ndiyo. Wakasema mleteni. Akaletwa (jina linahifadhiwa) kutoka makao makuu. Wakamuuliza unafahamu eneo linaloitwa Kimara? Akasema ndiyo. Wakasema tupeleke.....
Mtu anakua na uchungu kama kagongwa yeye, wakati mgongwaji hufurahia na hukatika kwelikweliSababu ya kiboya sana kutoa uhai wa mtu let alone kumchinja kabisa.
Kumuacha demu/mke wako ugumu upo wapi? Kabakwa? Huwa nashindwa kuelewa hizi sababu.
Hapo Mputo atakuwa amehusika pakubwa.Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.
Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.
Pia Soma:
Polisi: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa unaelea mto Msimbazi
DuhMtu anakua na uchungu kama kagongwa yeye, wakati mgongwaji hufurahia na hukatika kwelikweli
There's no perfect murderNi ngumu kufanya tukio bila kuacha traces ,detectives wataangalia hata miezi 6 nyuma kisha watachukua suspects wataminywa chuchu na mbupu na kama wamefanya lazima wateme bungo.
Hawafanyi hivyo,nimejifunza mengi kwa kifo cha nyanza yule aliyefukiwa na Dem wake, maana ni mdogo wangu anayenifuatia,polisi hawafanyi,japo wanatrack sana simu tofauti na unavyodhaniKama una gundu la bundi, siku mbili nyuma kabla ya kukatwa kichwa umewasiliana nae, na ukamuwashia moto, but hauhusiki na kifo chake, mara police wanatrace namba wanaikuta na yako iko juu juu current call...uwiii unaenda kuminywa mbupuu!
Professionals hatubebi simu kwenye tukio,hatuendi wenyewe kwenye tukio,hatuonani na tunaowapa kaziKwa Dunia ya sasa ukifanya kosa kama una simu tu kuna nafasi 98% ya kukamatwa.
Kila mnyama ana utashi, binadam ni mnyama anayevaa nguo na kujenga shuleBinadamu ni Wanyama wenye Utashi tu.
Pole sana rafiki yanguHawafanyi hivyo,nimejifunza mengi kwa kifo cha nyanza yule aliyefukiwa na Dem wake, maana ni mdogo wangu anayenifuatia,polisi hawafanyi,japo wanatrack sana simu tofauti na unavyodhani