Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,547
- 18,265
Kwa Dunia ya sasa ukifanya kosa kama una simu tu kuna nafasi 98% ya kukamatwa.
Naona wote madogo .
Wewe sikia tu kuhusu utapeli , unauma sana .Tena vijana ndo makatili vibaya vibaya!
Kuna mahali nimeona eti huyu dogo alikuwa anamiliki kale karoho ka "Utapeli"
Maana eti ni mwanachuo still alikuwa winga kkoo, so ukilogwa kumpa pesa akuletee hizo iPhone zao, umekwisha, simu hupati na hela hakupi, last time nasikia kalala mbele sijui na milioni tatu za iphone...
Kumbuka hawa watuhumiwa ni vijana na hizo simu ndo roho zako so jiongeze!
Kwahiyo nikifanya umafia nitupe baharini simu ya muhusika si ndio? Au wataenda mitandao ya simu kucheck no zangu?Ni ngumu kufanya tukio bila kuacha traces ,detectives wataangalia hata miezi 6 nyuma kisha watachukua suspects wataminywa chuchu na mbupu na kama wamefanya lazima wateme bungo.
yaani mimi nashangaa sana , watoto wa siku hzi wana kesi za hatari sana.Zamani hapo ungesoma miaka kuanzia 45 but now show zinapigwana under 30
Na hiyo watu kutokuwa na imani na polisi,ina wapa njia watenda maovu,maana wanajuwa tukifanya tukio la kumteka mtu au kuuaMfano anaoponda system hapa JF ukisikia kauawa kikatili nani atamfahamu? maana wengi hapa ni fake IDs, unakuja kurubunika PM unatoa loation, umeisha..
Mimi kiukweli imani na polisi sina. Kila wanachoongea naona ni uongo, siwaamini kabisa.
Mfumo ndiyo unawatengeneza na kuwafanya watu kuwa makatiliyaani mimi nashangaa sana , watoto wa siku hzi wana kesi za hatari sana.
Na huu ndo ubaya wa vyombo vyetu vya usalama, unaweza kutana na rafiki yako leo, usiku likatokea tukio huko aliko na mishe zake labda kavamiwa na kuuawa, ukawa na wewe ni mingoni mwa watuhumiwa kisa tu ulikuwa wa mwisho kumpigia simu ukimuuliza kama yupo nyumbani.Kama una gundu la bundi, siku mbili nyuma kabla ya kukatwa kichwa umewasiliana nae, na ukamuwashia moto, but hauhusiki na kifo chake, mara police wanatrace namba wanaikuta na yako iko juu juu current call...uwiii unaenda kuminywa mbupuu!
Wa kulaumiwa ni hao hao polisi.Na hiyo watu kutokuwa na imani na polisi,ina wapa njia watenda maovu,maana wanajuwa tukifanya tukio la kumteka mtu au kuua
Raia mtu wa kwanza kumhisi ni wazee wale wa ----
Na hali ikizidi kuendelea kama nchi itakuwa sehemu mbaya sana
Ova
Sasa kama ni mapenzi, hawa wengine wameingiaje? Just najiuliza tuAiseee inasikitisha sana.
Mimi nahisi itakuwa issue za Mapenzi ndiyo navyoona katika ulimwengu wa jicho la tatu.
Navyoona ni kwamba James Temba alikuwa anagonga Demu ila huyo Demu ana msela wake ambaye ndiyo anamuhudumia ,sasa baada ya msela kustukia akaona amtafute James Temba na kummaliza MAZIMA.
Exactly mkuu...too bad 😞Na huu ndo ubaya wa vyombo vyetu vya usalama, unaweza kutana na rafiki yako leo, usiku likatokea tukio huko aliko na mishe zake labda kavamiwa na kuuawa, ukawa na wewe ni mingoni mwa watuhumiwa kisa tu ulikuwa wa mwisho kumpigia simu ukimuuliza kama yupo nyumbani.
Eti serikali makini 🤣🤣..!Ila kumbuka , sheria za nchi zinabana na serikali ni makini sana
Na mfumo pia maana watenda maovu wanawaigaWa kulaumiwa ni hao hao polisi.
Na kibaya zaidi bongo ukituhumiwa just tuhuma tu, watu wana conclude we ndo muuaji!Jicho langu la tatu ambalo naliamini kwa zaidi ya 95% inaniambia kwamba hapo ni issue ya Mapenzi na wala si Uwinga wa Simu Kariakoo.
Jicho langu la tatu linaniambia James alikuwa na Demu ila huyo Demu alikuwa na mtu wake(Msela) ,nahisi msela ndiyo kaamua amalizane naye.
Ngoja tuone polisi wataconclude vipi ila hao vijana waliokamatwa wasiwe wameangushiwa tu jumba Bovu maana Polisi wetu huwa kukiwa na tukio lililoHIT wanafanya FUTUHI kutuliza watu.
Tanzania kuna maserial killa kibao wanaranda mitaani"Chanzo cha mabaya ni pesa(Dhuluma) na wasichana(Wake za watu) ,chunga sana alishasema Salu T" - Fid Q
Pole sana kwa kijana james tembaJeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.
Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.
Kuna mauaji mengine yakitokea,hata kama weweunauwezo wa kuchanganua mambo +uchunguzi mdogo unaweza jua sababu ni niniNa kibaya zaidi bongo ukituhumiwa just tuhuma tu, watu wana conclude we ndo mauaji!
TrueTanzania kuna maserial killa kibao wanaranda mitaani
Watu wengi washafanya matukio na hawajakamatwa
Ova
Kama ni watuhumiwa wa kweli na siyo kubambikwa kupoteza maboya, tunataka waoneshe kichwa walipokipeleka.Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.
Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.
Usijifariji mapema na kutoa sifaKazi nzuri polisi..