Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Jicho langu la tatu ambalo naliamini kwa zaidi ya 95% inaniambia kwamba hapo ni issue ya Mapenzi na wala si Uwinga wa Simu Kariakoo.

Jicho langu la tatu linaniambia James alikuwa na Demu ila huyo Demu alikuwa na mtu wake(Msela) ,nahisi msela ndiyo kaamua amalizane naye.

Ngoja tuone polisi wataconclude vipi ila hao vijana waliokamatwa wasiwe wameangushiwa tu jumba Bovu maana Polisi wetu huwa kukiwa na tukio lililoHIT wanafanya FUTUHI kutuliza watu.
Mkuu jicho lako la tatu si ni mnduku huo😀
 
Ngoja tuangalie kama watakuwa mabilionea au ni ujinga tu umewaponza
 
Aiseee inasikitisha sana.

Mimi nahisi itakuwa issue za Mapenzi ndiyo navyoona katika ulimwengu wa jicho la tatu.

Navyoona ni kwamba James Temba alikuwa anagonga Demu ila huyo Demu ana msela wake ambaye ndiyo anamuhudumia ,sasa baada ya msela kustukia akaona amtafute James Temba na kummaliza MAZIMA.
Daah ndo wanawake tuwape nafasi ya juu hvo,mpaka ifikie hatua ya kumchinja mtu kama kuku na kutoa kichwa chake bila huruma
 
Mapenzi
Marehemu alikua na mahusiano na happiness,ilhali ni mke wa mtu wa huyo jamaa bomangombe.jamaa ni wa bomangombe,bibie anaitwa lema nae wa huko huko.
Labda ni wanandoa waliotengana

Waliotelekeza uchinjaji ni wazee WA kazi Mputo na mwenzie wote wanaishi kigogo kati ukanda wa wahuni na wamejipachika majina ya kazi(kawaida ya vibaka)
Na hukobko wanakoishi kigogo kati unapita mto msimbazi alipookotwa James.

Bibie Inaonyesha alishapokea vitisho lakini akapuuzia,pengine aliambiwa bwanako kashauliwa ila hakuamini,akimpigia James hapatikani(huku familia ya James nayo wanamtafuta hawampati)
Akakumbika nana namba ya mamake James akmpigia kuthibitisha

Huyu dada amerahisiaha ukamataji,Nina hakika alipokamatwa akamtaja huyo jamaa wa Kilimanjaro,nae wa Kilimanjaro akawataja vibaka wake wa kigogo kati.
Nimehisi tu
Hawa wasikae sell moja
 
Unaweza ukakuta Anna Frank Lema maarufu "Happiness" ndiyo akawa kiini cha hilo tukio. Halafu mjukuu wangu nina swali!

Mbona wahusika wa tukio la MC Pilipili mpaka leo hatujasikia wakishikiliwa? Uchunguzi gani unachukua muda mrefu kiasi hiki? Tuliambiwa wahusika walimpigia marehemu simu ili atoke Dar kwenda Dodoma! Je, alipofikia hapajulikani? Na vipi kuhusu wale jamaa waliompigia simu ndugu/jamaa yake marehemu ili kukutana na kumkabidhi ndugu yao akiwa kwenye hali mbaya baada ya kumshughulikia ipasavyo? Sasa hapo si ni rahisi kuangalia mawasiliano aliyofanya marehemu na yule ndugu yake, na hao wauaji!

Sasa mbona mchakato haueleweki? Natambua wewe ni mtaalam wa haya mambo. Hebu ingia chimbo unipatie majibu.
Ukiona kesi imekuwa ngumu ujue kuna maslahi kutoka juu. Kwa kuwa hili tukio tayari wengine wamepatikana ujue hakuna mkono wa mtu huko kwa wenyewe.
 
Danganya toto hii. Watekaji na Wauaji wanajulikana, ni Mapolisi wenyewe. Hao Vijana wametolewa kafara tu. Marehemu kabla ya kifo chake ALITEKWA, na inajulikana wazi WATEKAJI ni magenge ya Samia the butcher.
 
Jicho langu la tatu ambalo naliamini kwa zaidi ya 95% inaniambia kwamba hapo ni issue ya Mapenzi na wala si Uwinga wa Simu Kariakoo.

Jicho langu la tatu linaniambia James alikuwa na Demu ila huyo Demu alikuwa na mtu wake(Msela) ,nahisi msela ndiyo kaamua amalizane naye.

Ngoja tuone polisi wataconclude vipi ila hao vijana waliokamatwa wasiwe wameangushiwa tu jumba Bovu maana Polisi wetu huwa kukiwa na tukio lililoHIT wanafanya FUTUHI kutuliza watu.
Tulisha yasema haya tukatukanwa kuwa ni CCM
 
Kwa hao waliokamatwa hawali hapo 100% ni Mapenzi.

Ofisa maabara - Kilimanjaro - Sponsor/Mwenye mali
Hapinness - Mfamasia/Msteshonalist - Demu wa ofisa maabara.
Tambali - Mandonga Mtu Kazi -Killer
Mputo - Mandonga Mtu Kazi - Killer
We Mjinga, hao MATEJA wanawezaje kufanya UTEKAJI?
 
Hivi Watanzania wakoje?
Hao ni watuhumiwa sio wahusika..

Mimi bado nina imani ni wasio julikana.
Humu Kuna wahusika wanajaribu kupindisha ukweli. Na kwakuwa watanzania wanaopenda ngono basi wamejielekeza huko. Mimi nawa zoom tu namna wanavyo jitutumua kujifanya wanajua mambo ya usalama wakati report kamili haijatolewa
 
Hapana, Huyo mwanamke atakua alipiga simu kuhahakisha kama ni kweli maneno ya mume/bwana yake aliomwambia jamaa yako Temba tushamnyaka na hautomuona tena akapanic akapiga simu. Nawaza kwa jicho la tatu hii kitu ilivyokua, nina uhakika 99.99% hii ishu ni mapenzi sio u winga wa kkoo maana hivi vitu nimeshavisikia sana kitambo. Kuna waziri wa bongo aliuliwa kwa shaba kitambo sana kwa ishu ya mbunye. Usichezee mbunye wewe tena iwe mke. Ila kuua mtu kwa mbunye ni Udhaifu.
Mazingira ya utekwaji wake ylikuwaje? Ndie aliyetekwa na land cruiser?
 
Mapenzi
Marehemu alikua na mahusiano na happiness,ilhali ni mke wa mtu wa huyo jamaa bomangombe.jamaa ni wa bomangombe,bibie anaitwa lema nae wa huko huko.
Labda ni wanandoa waliotengana

Waliotelekeza uchinjaji ni wazee WA kazi Mputo na mwenzie wote wanaishi kigogo kati ukanda wa wahuni na wamejipachika majina ya kazi(kawaida ya vibaka)
Na hukobko wanakoishi kigogo kati unapita mto msimbazi alipookotwa James.

Bibie Inaonyesha alishapokea vitisho lakini akapuuzia,pengine aliambiwa bwanako kashauliwa ila hakuamini,akimpigia James hapatikani(huku familia ya James nayo wanamtafuta hawampati)
Akakumbika nana namba ya mamake James akmpigia kuthibitisha

Huyu dada amerahisiaha ukamataji,Nina hakika alipokamatwa akamtaja huyo jamaa wa Kilimanjaro,nae wa Kilimanjaro akawataja vibaka wake wa kigogo kati.
Nimehisi tu
Kila wakati Erythrocyte nakukanya kuhusu kukurupuka. Tatizo lako ni shule ndogo.
 
Mm siamini sana jeshi letu la polisi.

Hao waliokamatwa inawezekana hawahusiki kabisa na hilo jambo. Wamesingiziwa.
Na wakalazimishwa kukubali kesi.

Tuipe muda . Tutajua.
Kesi ikishakuwa public interest,kuna kuwepo na joto
Raia muda wote wanataka kujuwa hatma ya kesi,mwenendo wake

Ova
 
Back
Top Bottom