Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Mocumentary

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
857
Reaction score
2,240
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.

Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.

Pia Soma:
Polisi: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa unaelea mto Msimbazi
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.

Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.
Duuh.....afisa maabara tena? Dogo alifanyaje fanyaje asee🙄🤔

Ila nilijua tu mchaga hawezi kukosekana hapa kwenye hii ishu ( mambo ya hela haya)
 
Huyu Lema ndo aliyepiga simu kwa mama yake na Temba akimuuliza kama Temba yupo nyumbani au la? Alipojibiwa hayupo alikata simu na kuizima alidhania yameisha.

Biashara ya kuuwana uchagani Iko sana mnauana kisa Nini? Pesa au mapenzi? Tangu lini mkajua mapenzi nyie?
 
Kuna sababu tu , tulieni kimya kama ingekuwa watu wanaua kwa roho mbaya basi tusingeisha ...Ila kumbuka , sheria za nchi zinabana na serikali ni makini sana . Watu wanavunja sheria kutokana na mazingira yanawafanya hivyo.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.

Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.
Erythrocyte kwa hili, huoni aibu na uzi wako

Aiseee inasikitisha sana.

Mimi nahisi itakuwa issue za Mapenzi ndiyo navyoona katika ulimwengu wa jicho la tatu.

Navyoona ni kwamba James Temba alikuwa anagonga Demu ila huyo Demu ana msela wake ambaye ndiyo anamuhudumia ,sasa baada ya msela kustukia akaona amtafute James Temba na kummaliza MAZIMA.
 
Wanaweza kuwa walikuwa watu wa mwisho kuwasiliana naye kwa simu kabla jamaa hajapatwa na mauti

Ila kusema kweli hilo tukio sio la kawaida aisee kufanywa na vijana wa huo umri
Mkuu kwa Dunia ya sasa kila kitu kinawezekana,

Hawa wenye umri mdogo ndio rahisi zaidi kutumika coz akili zao bado zinakua hazijakomaa kisawasawa ili kupima madhara ya baadae kwa wanachokifanya.
 
Hao polisi wafanye kazi yao kwa ukweli na uadilifu.Maana hawaaminiki kwa asilimia nyingi kasoro wachache sana.
NB:Siyo kwamba nilivyoandika "kasoro wachache" ndiyo wote wajidai wamo kwenye hao wachache.
Jicho langu la tatu ambalo naliamini kwa zaidi ya 95% inaniambia kwamba hapo ni issue ya Mapenzi na wala si Uwinga wa Simu Kariakoo.

Jicho langu la tatu linaniambia James alikuwa na Demu ila huyo Demu alikuwa na mtu wake(Msela) ,nahisi msela ndiyo kaamua amalizane naye.

Ngoja tuone polisi wataconclude vipi ila hao vijana waliokamatwa wasiwe wameangushiwa tu jumba Bovu maana Polisi wetu huwa kukiwa na tukio lililoHIT wanafanya FUTUHI kutuliza watu.
 
Mkuu kwa Dunia ya sasa kila kitu kinawezekana,

Hawa wenye umri mdogo ndio rahisi zaidi kutumika coz akili zao bado zinakua hazijakomaa kisawasawa ili kupima madhara ya baadae kwa wanachokifanya.
Kwa kweli inaogopesha

Nawaza huyo Temba amefanya kosa gani kustahili kuchinjwa kama kuku vile

Kama Baba wa familia, kuna haja tuwe tunawaeleza mapema vijana wetu kuhusu athari za madawa ya kulevya/ulevi vinavyoweza kufanya utekeleze mambo ya aina hiyo

Inawezekana hao vijana walifanya hayo wakiwa kwenye hali ya ulevi/kutojitambua
 
Back
Top Bottom