Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Jicho langu la tatu ambalo naliamini kwa zaidi ya 95% inaniambia kwamba hapo ni issue ya Mapenzi na wala si Uwinga wa Simu Kariakoo.

Jicho langu la tatu linaniambia James alikuwa na Demu ila huyo Demu alikuwa na mtu wake(Msela) ,nahisi msela ndiyo kaamua amalizane naye.

Ngoja tuone polisi wataconclude vipi ila hao vijana waliokamatwa wasiwe wameangushiwa tu jumba Bovu maana Polisi wetu huwa kukiwa na tukio lililoHIT wanafanya FUTUHI kutuliza watu.
Ngoja tuone.Watanzania huwa ada yao ni kujidai hawafuatilii jambo.Sasa, kwenye majibu kitaeleweka.
 
Duuh.....afisa maabara tena? Dogo alifanyaje fanyaje asee🙄🤔

Ila nilijua tu mchaga hawezi kukosekana hapa kwenye hii ishu ( mambo ya hela haya)
Hapo ukiunganisha Dots si unaona kwamba Afisa Maabara Demu wake ni Happiness na James temba alikuwa anakula Happiness ,so Ofisa Maabara ikabidi akodishe hao Masela "Mputo" na "Tambali" ndiyo wakamaliza kazi ,Hayo majina yanaonyesha ni "MANDONGA WATU KAZI".
 
Yes kaka upo sahihi

Huenda afisa maabara aliwaambia kabisa wakina " mputo " na "Tambali " mkisha maliza kazi nileteeni kichwa chake nikione.
 
Huo ni mzunguko tu mhusika alikuwa mkeo analiwa ni bakabaka na usiku huo alikuwa lindo so no ushahidi lazima patengenezwe movie
 
Yes kaka upo sahihi

Huenda afisa maabara aliwaambia kabisa wakina " mputo " na "Tambali " mkisha maliza kazi nileteeni kichwa chake nikione.
Hapo kuna dhana mbili ,ya kwanza yako huenda ni 99% ukweli kwamba Ofisa Maabara aliagiza Kichwa Chake ili aconfirm kwamba kweli kwamba "Temba ameliwa Kichwa".

Dhana ya Pili imekaa zaidi kwa professional Killers ambao wanaondoka na kichwa kwa ajili ya kuondoa ushahidi wa Ki-Forensic(Sitoenda ndani sana kwasababu ya kiusalama zaidi)...Dhana ya pili yangu ni kama is likely 1% coz hao wanonekana bado wachanga kwenye kazi(Amateur).
 
Aiseee inasikitisha sana.

Mimi nahisi itakuwa issue za Mapenzi ndiyo navyoona katika ulimwengu wa jicho la tatu.

Navyoona ni kwamba James Temba alikuwa anagonga Demu ila huyo Demu ana msela wake ambaye ndiyo anamuhudumia ,sasa baada ya msela kustukia akaona amtafute James Temba na kummaliza MAZIMA.
Inaumiza mno, Ila ulivyounganisha dots na mimi ni hivyo hivyo pia, yule dada aliepiga simu ambae ndie huyo Happiness, atakua ndie aliekua akimegwa na huyo dogo Temba ila nadhani alikua ni mke wa huyo jamaa wa maabara. Hao wengine watakua ndio "killing squad" waliotumwa kumfanyizia Temba huo ukatili wote. Siku hizi kukamata wahalifu si kazi sana maana tracking inaanzia kwenye simu kwa mtuhumiwa wa kwanza, halafu inahamia kwenye miamala, messages na movement za location. Na kuna simu zingine zina camera zinajirecord automatilly bila hata mwenye simu kujua only sisi vijana wa Mossad ndio tuna utaalam huo. Kifo cha huyu dogo kimeniuma sana sana. Innaihlayhi wainnaihyi rajioun. RIP.
 
Yes mkuu huo ndiyo ukweli ,nilitaka niandike tangia siku ile ya tukio sema nilikuwa porini internet ilikuwa shida.

"Mimi naona mbali kwa darubini kali" - Afande Sele.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.

Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.

Ukisoma miaka ya hao walioshikiliwa utagundua tunakokwenda sio pazuri kabisa
 
Aiseee inasikitisha sana.

Mimi nahisi itakuwa issue za Mapenzi ndiyo navyoona katika ulimwengu wa jicho la tatu.

Navyoona ni kwamba James Temba alikuwa anagonga Demu ila huyo Demu ana msela wake ambaye ndiyo anamuhudumia ,sasa baada ya msela kustukia akaona amtafute James Temba na kummaliza MAZIMA.

Sababu ya kiboya sana kutoa uhai wa mtu let alone kumchinja kabisa.

Kumuacha demu/mke wako ugumu upo wapi? Kabakwa? Huwa nashindwa kuelewa hizi sababu.
 
Sababu ya kiboya sana kutoa uhai wa mtu let alone kumchinja kabisa.

Kumuacha demu/mke wako ubaya ugumu upo wapi? Kabakwa? Huwa nashindwa kuelewa hizi sababu hizi.
Mkuu acha tu ,"USIOMBEE KUKUTWA NA BWANA PEPSI" ,kugongewa kunauma sana ,just imagine umamfungulia Mke/Mpenzi biashara ,unampa huduma zote halafu unasikia na kuconfirm kwamba kuna jamaa anamega kisela....Kwa akili za watu above 40 wanaweza kuwa na busara ila hawa below 35 aisee kwenye hiyo sector wana maamuzi mabaya sana.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.

Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.
Sijawahi kuamini Polisi

- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Back
Top Bottom