Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Sababu ya kiboya sana kutoa uhai wa mtu let alone kumchinja kabisa.

Kumuacha demu/mke wako ubaya ugumu upo wapi? Kabakwa? Huwa nashindwa kuelewa hizi sababu hizi.
Ni kweli sababu ya kiboya sana. Mie nimesoma Kaskazini huko enzi hizo, wale watu wa kule kwenye pesa na mbunye haswa mke kuua ni kawaida sana. Kibaya zaidi uwa wanawekeza pa kubwa sana kwenye mbunye kama huyo Happiness nimesoma sehemu alikua anauza pharmacy. Sasa mume - maabara, ukute aliwekeza mtaji mzima kumfungulia pharmacy mke huku yeye akiwa Kilimanjaro na marehemu akawa anajipigia tu. Ila mbunye sio ya kumuua hivi binadamu mwenzako, Imeniuma sana hii.
 
"Chanzo cha mabaya ni pesa(Dhuluma) na wasichana(Wake za watu) ,chunga sana alishasema Salu T" - Fid Q
 
Wanaweza kuwa walikuwa watu wa mwisho kuwasiliana naye kwa simu kabla jamaa hajapatwa na mauti

Ila kusema kweli hilo tukio sio la kawaida aisee kufanywa na vijana wa huo umri
Tena vijana ndo makatili vibaya vibaya!

Kuna mahali nimeona eti huyu dogo alikuwa anamiliki kale karoho ka "Utapeli"
Maana eti ni mwanachuo still alikuwa winga kkoo, so ukilogwa kumpa pesa akuletee hizo iPhone zao, umekwisha, simu hupati na hela hakupi, last time nasikia kalala mbele sijui na milioni tatu za iphone...

Kumbuka hawa watuhumiwa ni vijana na hizo simu ndo roho zako so jiongeze!
 
Tena vijana ndo makatili vibaya vibaya!

Kuna mahali nimeona eti huyu dogo alikuwa anamiliki kale karoho ka "Utapeli"
Maana eti ni mwanachuo still alikuwa winga kkoo, so ukilogwa kumpa pesa akuletee hizo iPhone zako, umekwisha, simu hupati na hela hakupi, last time nasikia kalala mbele sijui na milioni tatu za iphone...

Kumbuka hawa watuhumiwa ni vijana na hizo simu ndo roho zako so jiongeze!
Inawezekana pia ila kwa hii issue ya kukatwa kichwa ni Mapenzi Mabaya Mapenzi Mabaya ,Mke wa mtu ni sumu usijaribu chombeza.
 
Erythrocyte kwa hili, huoni aibu na uzi wako

Unawezaje kumuamini Muliro! Bila shaka huna akili au umelogwa
 
Huyu Lema ndo aliyepiga simu kwa mama yake na Temba akimuuliza kama Temba yupo nyumbani au la? Alipojibiwa hayupo alikata simu na kuizima alidhania yameisha.

Biashara ya kuuwana uchagani Iko sana mnauana kisa Nini? Pesa au mapenzi? Tangu lini mkajua mapenzi nyie?
Wanawake hatunaga akili, yaan hapo alikuwa anawashwa na umbea umbea! Alitaka kuona reaction ya mzazi wake ili akawahadithie wenzie daaah!
Lilivyo zwazwa lilivyopata udaku likazima simu🤭🤭🤔
 
Wanawake hatunaga akili, yaan hapo alikuwa anawashwa na umbea umbea! Alitaka kuona reaction ya mzazi wake ili akawahadithie wenzie daaah!
Lilivyo zwazwa lilivyopata udaku likazima simu🤭🤭🤔
Ni ngumu kufanya tukio bila kuacha traces ,detectives wataangalia hata miezi 6 nyuma kisha watachukua suspects wataminywa chuchu na mbupu na kama wamefanya lazima wateme bungo.
 
Ni kweli sababu ya kiboya sana. Mie nimesoma Kaskazini huko enzi hizo, wale watu wa kule kwenye pesa na mbunye haswa mke kuua ni kawaida sana. Kibaya zaidi uwa wanawekeza pa kubwa sana kwenye mbunye kama huyo Happiness nimesoma sehemu alikua anauza pharmacy. Sasa mume - maabara, ukute aliwekeza mtaji mzima kumfungulia pharmacy mke huku yeye akiwa Kilimanjaro na marehemu akawa anajipigia tu. Ila mbunye sio ya kumuua hivi binadamu mwenzako, Imeniuma sana hii.

Mkuu acha tu ,"USIOMBEE KUKUTWA NA BWANA PEPSI" ,kugongewa kunauma sana ,just imagine umamfungulia Mke/Mpenzi biashara ,unampa huduma zote halafu unasikia na kuconfirm kwamba kuna jamaa anamega kisela....Kwa akili za watu above 40 wanaweza kuwa na busara ila hawa below 35 aisee kwenye hiyo sector wana maamuzi mabaya sana.

Naelewa mnachosema ila kuua mtu kwa sababu yeyote ile never made sense to me hasa mapenzi. Mtu hajabakwa kwanini umuue mpenzi wake badala ya muhusika? Tuseme James alikua anatembea na mke wa mtu, umemuua James afu mkeo anarudi home, sasa atakua muaminifu? Aliyeua anaenda ndani akishikwa mke anabaki uraiani after 3 months masela wanaendelea kujipigia tu wakati wewe unanyea debe.
 
Aiseee inasikitisha sana.

Mimi nahisi itakuwa issue za Mapenzi ndiyo navyoona katika ulimwengu wa jicho la tatu.

Navyoona ni kwamba James Temba alikuwa anagonga Demu ila huyo Demu ana msela wake ambaye ndiyo anamuhudumia ,sasa baada ya msela kustukia akaona amtafute James Temba na kummaliza MAZIMA.
Tukikuhitaji utatoa ushahidi usio na shaka yoyote mkuu?
 
Nimeangalia ile video ya mwili wa Temba, aisee Wabongo tunazidi kuwa makatili

Yaani unashika kisu una mchinja binadamu mwenzio kama unachinga Kuku/Mbuzi 🙌
Wabongo ni wakatili kama binadamu wengine wowote tu wale, kitu ambacho tulikuwa hatujapata ni vichocheo au mazingira, kadri muda unavyoenda hivi vichocheo na mazingira yanakuwepo na hapo ndipo ilo evil nature iliyo katika binadamu wengi inajidhihirisha sasa.
 
Wasiyo julikana kwani James alikuwa mwanaharakati au alikuwa anajihusisha na kuponda system
"Wahalifu/watenda maovu sahv wanapita njiaaa za wasiyojulikana

Ova
Mfano anaoponda system hapa JF ukisikia kauawa kikatili nani atamfahamu? maana wengi hapa ni fake IDs, unakuja kurubunika PM unatoa location, umeisha..

Mimi kiukweli imani na polisi sina. Kila wanachoongea naona ni uongo, siwaamini kabisa.
 
Wanawake hatunaga akili, yaan hapo alikuwa anawashwa na umbea umbea! Alitaka kuona reaction ya mzazi wake ili akawahadithie wenzie daaah!
Lilivyo zwazwa lilivyopata udaku likazima simu🤭🤭🤔
Hapana, Huyo mwanamke atakua alipiga simu kuhakikisha kama ni kweli maneno ya mume/bwana yake aliomwambia jamaa yako Temba tushamnyaka na hautomuona tena akapanic akapiga simu. Nawaza kwa jicho la tatu hii kitu ilivyokua, nina uhakika 99.99% hii ishu ni mapenzi sio u winga wa kkoo maana hivi vitu nimeshavisikia sana kitambo. Kuna waziri wa bongo aliuliwa kwa shaba kitambo sana kwa ishu ya mbunye. Usichezee mbunye wewe tena iwe mke. Ila kuua mtu kwa mbunye ni Udhaifu.
 
Ni ngumu kufanya tukio bila kuacha traces ,detectives wataangalia hata miezi 6 nyuma kisha watachukua suspects wataminywa chuchu na mbupu na kama wamefanya lazima wateme bungo.
Kama una gundu la bundi, siku mbili nyuma kabla ya kukatwa kichwa umewasiliana nae, na ukamuwashia moto, but hauhusiki na kifo chake, mara police wanatrace namba wanaikuta na yako iko juu juu current call...uwiii unaenda kuminywa mbupuu!
 
Back
Top Bottom