Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Msala wanabaki nao wazee Wa kigogo kati
Mi nahisi kichwa chake pia walikitupa mtoni sema kikalenda Hadi bahatini ila mwili ndio ukakwama.

Ukute wanauwaga sana namna hii,mtu anatafutwa miaka nenda Rudi kumbe..
Watataja walikokipeleka kichwa ,obvious watakuwa wamekizika somewhere ,wataminywa MBUPU mpaka watataja.
 
Hatari sana ,haya mambo ni kuyaombea yasikukute maana maamuzi yake huwa yanakuwa mabaya na hata ukirudishwa nyuma hutaweza kufanya baada ya kuyatenda maana inakuwa MAJUTO MJUKUU.
Kabisa kabisa...hapo kama wamehusika Afisa maabara anajuta anaona bora angemuacha tu huyo mwanamke, na mwanamke nae anajuta na uzinzi wake....wale mabangi ya kigogo ndo bado wana wenge maana inaonesha hii sio mara ya kwanza kuua " mputo na Tambali, majina ya kazi kabisa!
 
Ni kweli ,ukishindwana na mtu omba Mungu akupe hekima na busara ya kumuacha kwa amani....Sema ndiyo hivyo hawa wanawake wetu wanataka wale kotekote(ving'anga) ,huku anataka maokoto na kule anataka MOTO na ndiyo inasababisha hasira kwa sponsor kuchukua maamuzi ya ajabu.
 
Mm siamini sana jeshi letu la polisi.

Hao waliokamatwa inawezekana hawahusiki kabisa na hilo jambo. Wamesingiziwa.
Na wakalazimishwa kukubali kesi.

Tuipe muda . Tutajua.
 
Huyo Erythrocyte naye anafaa kukamatwa. Afande Muliro fanya kazi yako😎
- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Wanaweza kuwa walikuwa watu wa mwisho kuwasiliana naye kwa simu kabla jamaa hajapatwa na mauti

Ila kusema kweli hilo tukio sio la kawaida aisee kufanywa na vijana wa huo umri
Una akili sanaa..hapo hamna anaehusika...
 
Imeisha hiyo .....Mwana maabara kama ana fungu anaweza kuchomoka kwenye hiyo kesi kwa maana yeye hakutekeleza mauaji ,anaweza kuchomoka kama Yule Ofisa wa Polisi kwenye kesi ya nyundo ,anaweza kuchomoka kama kesi ya Zombe na mauaji ya wafanyabiashara wa madini.

Ushahidi wa mazingingira unaweza kumuokoa mwana maabara ,kama tukio limetokea Dar na yeye alikuwa Bomangombe siku ya tukio na hakuwahi kuja Dar itamsaidia even hata kulikuwa na communication na Killers(Mputo na Tambali).
Wakitrace simu na mawasiliano yakaonekana kuwa alishawasiliana n a hao killers hakuna sehem atachomokea regardless alikuwa kilimanjaro
 
Imeisha hiyo .....Mwana maabara kama ana fungu anaweza kuchomoka kwenye hiyo kesi kwa maana yeye hakutekeleza mauaji ,anaweza kuchomoka kama Yule Ofisa wa Polisi kwenye kesi ya nyundo ,anaweza kuchomoka kama kesi ya Zombe na mauaji ya wafanyabiashara wa madini.

Ushahidi wa mazingingira unaweza kumuokoa mwana maabara ,kama tukio limetokea Dar na yeye alikuwa Bomangombe siku ya tukio na hakuwahi kuja Dar itamsaidia even hata kulikuwa na communication na Killers(Mputo na Tambali).
Aah wap, kama mawasiliano yalikuwepo,oda akatoa ,muamala ukasoma atatokaje hapo Mzee?
 
Imeisha hiyo .....Mwana maabara kama ana fungu anaweza kuchomoka kwenye hiyo kesi kwa maana yeye hakutekeleza mauaji ,anaweza kuchomoka kama Yule Ofisa wa Polisi kwenye kesi ya nyundo ,anaweza kuchomoka kama kesi ya Zombe na mauaji ya wafanyabiashara wa madini.

Ushahidi wa mazingingira unaweza kumuokoa mwana maabara ,kama tukio limetokea Dar na yeye alikuwa Bomangombe siku ya tukio na hakuwahi kuja Dar itamsaidia even hata kulikuwa na communication na Killers(Mputo na Tambali).
- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.

Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.

Pia Soma:
Polisi: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa unaelea mto Msimbazi
Jeshi letu tukufu linafanya kazi nzuri na iliyotukuka, kilichobaki ni kuboresha masilai yao tu.
 
Back
Top Bottom