Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Hili swala unaonekana uko indeep nalo sana Mzee, itabidi uwape polisi ushirikiano. Ngoja niwape namba zako
Polisi wameconfirm issue mbili katika mauaji ya James Temba.

1.Ushirikina - Kwasababu Kichwa kimekutwa kwa Mganga kimefukiwa ,hapa Mganga anaingia matatizoni kwasababu wale wauaji inaonekana wamekula kotekote ,wamekula Dili kwa Ofisa Maabara kutekeleza mauaji ya Mshukiwa wake aliyekuwa anamtafuna Mpenzi wake(James) na pia wamekula Dili kwa Mganga ambaye na yeye alikuwa anahitaji kichwa cha mtu kwa ajili ya issue zake za utapeli/ushirikina wa kiganga.

2.Mapenzi - Tulishaeleza mapenzi katika page ya kwanza.
 
Ni kweli sababu ya kiboya sana. Mie nimesoma Kaskazini huko enzi hizo, wale watu wa kule kwenye pesa na mbunye haswa mke kuua ni kawaida sana. Kibaya zaidi uwa wanawekeza pa kubwa sana kwenye mbunye kama huyo Happiness nimesoma sehemu alikua anauza pharmacy. Sasa mume - maabara, ukute aliwekeza mtaji mzima kumfungulia pharmacy mke huku yeye akiwa Kilimanjaro na marehemu akawa anajipigia tu. Ila mbunye sio ya kumuua hivi binadamu mwenzako, Imeniuma sana hii.
Hiyo siyo kweli, wanadanganya kuhusu mambo ya uganga.Tunajua UVCCM ndiyo wahusika wakuu, walichofanya ni geresha za kipumbavu ambazo hazina maana.
 
Hiyo siyo kweli, wanadanganya kuhusu mambo ya uganga.Tunajua UVCCM ndiyo wahusika wakuu, walichofanya ni geresha za kipumbavu ambazo hazina maana.
Hili nalo ni neno maana hii nchi inakokwenda sio kabisa, kila kitu kinawezekana. Inasikitisha sana.
 
Vijana na wanaume
Ukiona mwanamke wako ana mwanaume mwingine Archana nae kulinda future yako na ya mwanaume mwenzako

Ona sasa, Ona sasa James amekufa na anaenda kuzikwa bila kichwa
Stephen, Twalibu na Muchael watafungwa maisha au kunyongwa
Halafu Anna/Happiness Lema atakuwa huru na atapata wanaume wengine
I miss you so much
 
Back
Top Bottom