Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Vijana na wanaume
Ukiona mwanamke wako ana mwanaume mwingine Archana nae kulinda future yako na ya mwanaume mwenzako

Ona sasa, Ona sasa James amekufa na anaenda kuzikwa bila kichwa
Stephen, Twalibu na Muchael watafungwa maisha au kunyongwa
Halafu Anna/Happiness Lema atakuwa huru na atapata wanaume wengine
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.

Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama ā€œHappinesā€ (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu ā€œMputoā€ (23) pamoja na Michael John maarufu ā€œTambaliā€ (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.

Pia Soma:
Polisi: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa unaelea mto Msimbazi
TUlimini jeshi letu, tuache uchunguzi na kama kuna wahalifu watafikishwa mahakamani.
 
Kwahiyo mkuu unashauri aliyeongea na marehemu au aliyekuwa na marehemu kwa mara ya mwisho asiguswe? Soma na fuatilia namna upelelezi kutoka mataifa makubwa hufanyika mfano fuatilia namna walipuaji wa ubalozi wa US huko Tanzania walivyokamatwa. Hakitakiwi kuachwa kitu hata kidogo sana .
Unajua Polisi wa Kibongo wanavyogusa?
 
Hapana sijasema wasiguswe, lakini kwa vyombo vyetu vya dola jinsi vilivyo huwa wana ku pressure na wana ku treat as if wewe ndiye muhusika mwenyewe hali ya kuwa ni mtuhumiwa. Jaribu kufuatilia hata kesi za nje ya nchi ambapo vyombo vyao vina weledi, kama ni mtuhumiwa utaitwa kwenye mahojiano, wataanza kukufuatilia miendendo yako n.k.. unakuwa under surveillance.

Huku kwetu hata ukiokota simu , halafu ikawa na kesi labda mmiliki aliuawa, aisee utajuta, unaweza kukiri wewe ndiye ulimuua huyo aliye fariki. Kwanza kuigwa ni kawaida.

Mambo ya jabu ajabu sana. Tafuta lile tukio la kulipuliwa kwa ubalozi wa US nchini Tanzania , askari walikuwa wanakamata watu hovyo, walikamata hadi walevi na wale watukutu mtaani kwamba ndio magaidi wali lipua ubalozi wa US.

FBI walipofika wakasema hawaoni gaidi hata mmoja na wakawashauri wasiwe wanashtumu watu hovyo pasipo kujiridhisha...

Soma hii... kuhusu shambulizi la kigaidi ubalozi wa US nchini Tanzania

ā€œBaada ya Ubalozi kulipuliwa sisi polisi tulifanya kazi moja tu. Hatukufanya uchunguzi, ila hatua ya kwanza ilikuwa ni kukamata kila aliyekuwa jirani na Ubalozi, aliyepita au tuliyemwona anapepesa macho. Baada ya siku tatu mahabusu za Central Polisi, Oysterbay na Salender zote zilijaa watuhumiwa. Ilikuwa hawana hata mahala pa kukanyaga, maana tulikuwa tunakamata kila tuliyemshuku.

ā€œBaadaye walikuja askari wa FBI kutoka Marekani. Wakasema mbona mmekamata watu wengi hivi? Tukawaambia tunawashuku. Wakasema hapana. Haki za binadamu haziendi hivyo. Hapaswi kukamatwa mtu kwa kumshuku, bali mtu anakamatwa baada ya kufanya uchunguzi na kupata ushahidi usiotiliwa shaka. Tukawauliza sasa tufanyeje?

ā€œWale FBI walisema leteni meza hapa nje. Tukapeleka meza. Wakasema waiteni wote wanaotuhumiwa mliowakamata kisha apite mmoja mmoja tutawaambia nani ni gaidi au ameshiriki kulipua ubalozi. Tukaweka meza, tukawaita watuhumiwa wakapita mmoja baada ya mwingine. Walikuwa wengi kweli. FBI baada ya zoezi lile wakasema waachieni wote hawa hakuna mtuhumiwa hata mmoja. Tukawauliza, tukiwaachia tutaanzia wapi upelelezi? Wakatwambia waachieni tu, tutazungumza. Tukawaachia.

ā€œTulipoingia kwenye kikao, wakasema wale wote mliowakamata hawajui lolote katika tukio la kulipua Ubalozi. Wakatuuliza tunaweza kupata askari anayelifahamu vizuri Jiji la Dar es Salaam? Tukawaambia ndiyo. Wakasema mleteni. Akaletwa (jina linahifadhiwa) kutoka makao makuu. Wakamuuliza unafahamu eneo linaloitwa Kimara? Akasema ndiyo. Wakasema tupeleke.....
FBI waliwauliza Polisi wa Bongo Gaidi gani anavaa Mayeboyebo?!
 
Kila wakati Erythrocyte nakukanya kuhusu kukurupuka. Tatizo lako ni shule ndogo.
- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
FBI waliwauliza Polisi wa Bongo Gaidi gani anavaa Mayeboyebo?!
Sipati picha maaskari walivyokuwa wanazoa zoa tu ilmradi nyomi ijae Lockup ionekane kazi imefanyika😁🤣🤣🤣

vibaka,mateja ya kinondoni, chokoraaa, waendesha maguta hata ukipita kwa mguu maeneo hayo wote selo🤣🤣🤣

Wazungu walijionea vituko daaah!
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.

Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama ā€œHappinesā€ (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu ā€œMputoā€ (23) pamoja na Michael John maarufu ā€œTambaliā€ (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.

Pia Soma:
Polisi: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa unaelea mto Msimbazi
Dola kama imehusika kichwa cha Temba hakitaonekana, kama haijahusika kukamatwa kwa hao jamaa ni mwanzo wa kupatikana kwa kichwa chake.
 
Kwa kweli inaogopesha

Nawaza huyo Temba amefanya kosa gani kustahili kuchinjwa kama kuku vile

Kama Baba wa familia, kuna haja tuwe tunawaeleza mapema vijana wetu kuhusu athari za madawa ya kulevya/ulevi vinavyoweza kufanya utekeleze mambo ya aina hiyo

Inawezekana hao vijana walifanya hayo wakiwa kwenye hali ya ulevi/kutojitambua
Yani iasikitisha sijui watu wanawezaje
 
Hapana sijasema wasiguswe, lakini kwa vyombo vyetu vya dola jinsi vilivyo huwa wana ku pressure na wana ku treat as if wewe ndiye muhusika mwenyewe hali ya kuwa ni mtuhumiwa. Jaribu kufuatilia hata kesi za nje ya nchi ambapo vyombo vyao vina weledi, kama ni mtuhumiwa utaitwa kwenye mahojiano, wataanza kukufuatilia miendendo yako n.k.. unakuwa under surveillance.

Huku kwetu hata ukiokota simu , halafu ikawa na kesi labda mmiliki aliuawa, aisee utajuta, unaweza kukiri wewe ndiye ulimuua huyo aliye fariki. Kwanza kuigwa ni kawaida.

Mambo ya jabu ajabu sana. Tafuta lile tukio la kulipuliwa kwa ubalozi wa US nchini Tanzania , askari walikuwa wanakamata watu hovyo, walikamata hadi walevi na wale watukutu mtaani kwamba ndio magaidi wali lipua ubalozi wa US.

FBI walipofika wakasema hawaoni gaidi hata mmoja na wakawashauri wasiwe wanashtumu watu hovyo pasipo kujiridhisha...

Soma hii... kuhusu shambulizi la kigaidi ubalozi wa US nchini Tanzania

ā€œBaada ya Ubalozi kulipuliwa sisi polisi tulifanya kazi moja tu. Hatukufanya uchunguzi, ila hatua ya kwanza ilikuwa ni kukamata kila aliyekuwa jirani na Ubalozi, aliyepita au tuliyemwona anapepesa macho. Baada ya siku tatu mahabusu za Central Polisi, Oysterbay na Salender zote zilijaa watuhumiwa. Ilikuwa hawana hata mahala pa kukanyaga, maana tulikuwa tunakamata kila tuliyemshuku.

ā€œBaadaye walikuja askari wa FBI kutoka Marekani. Wakasema mbona mmekamata watu wengi hivi? Tukawaambia tunawashuku. Wakasema hapana. Haki za binadamu haziendi hivyo. Hapaswi kukamatwa mtu kwa kumshuku, bali mtu anakamatwa baada ya kufanya uchunguzi na kupata ushahidi usiotiliwa shaka. Tukawauliza sasa tufanyeje?

ā€œWale FBI walisema leteni meza hapa nje. Tukapeleka meza. Wakasema waiteni wote wanaotuhumiwa mliowakamata kisha apite mmoja mmoja tutawaambia nani ni gaidi au ameshiriki kulipua ubalozi. Tukaweka meza, tukawaita watuhumiwa wakapita mmoja baada ya mwingine. Walikuwa wengi kweli. FBI baada ya zoezi lile wakasema waachieni wote hawa hakuna mtuhumiwa hata mmoja. Tukawauliza, tukiwaachia tutaanzia wapi upelelezi? Wakatwambia waachieni tu, tutazungumza. Tukawaachia.

ā€œTulipoingia kwenye kikao, wakasema wale wote mliowakamata hawajui lolote katika tukio la kulipua Ubalozi. Wakatuuliza tunaweza kupata askari anayelifahamu vizuri Jiji la Dar es Salaam? Tukawaambia ndiyo. Wakasema mleteni. Akaletwa (jina linahifadhiwa) kutoka makao makuu. Wakamuuliza unafahamu eneo linaloitwa Kimara? Akasema ndiyo. Wakasema tupeleke.....
Malizia mzee
 
I wish hii kesi iwe update km ya yule Marijani aliyemchoma mlewe.I
Kesi za bongo hazinaga updates labda iwe kesi ya siasa. Kuna dada mmoja alitekwa kule kibaha akaenda akatupwa akaja kuokotwa hoi sijui alifariki au vipi, uzi wake uliwekwa humu na kuna jamaa wakawa wanajibu hoja kama vile ni washiriki wa waliomteka. Mpaka leo hamna updates wala kesi iliishia wapi. Bongo is like a jungle, survival for the fittest. šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
 
Hii story muendelezo wake naweza kupata wapi au kuna uzi wake mkuu
 
Nuzulati Scott junior magnifico Jerusalem2006 Aizat

Tulipoingia kwenye kikao, wakasema wale wote mliowakamata hawajui lolote katika tukio la kulipua Ubalozi. Wakatuuliza tunaweza kupata askari anayelifahamu vizuri Jiji la Dar es Salaam? Tukawaambia ndiyo. Wakasema mleteni. Akaletwa (jina linahifadhiwa) kutoka makao makuu. Wakamuuliza unafahamu eneo linaloitwa Kimara? Akasema ndiyo. Wakasema tupeleke.....

Inaendelea......

ā€œAliwapeleka hadi Kimara. Wakamuuliza unaifahamu gereji ya (jina linahifadhiwa), akasema ndiyo. Wakamwambia tuonyeshe. Aakawapeleka hadi gereji. Pale gereji wakasema fundi anayeitwa (jina linahifadhiwa) yuko wapi? Akaitwa huyo fundi akaja. Wakajitambulisha kwake na kumweleza kuwa wao ni FBI kutoka Marekani na wanafuatilia ulipuaji wa Ubalozi wa Marekani. Wakamsihi asiwe na wasiwasi hawatamkamata, bali awape ushirikiano na taarifa watakazomwomba, ikiwa anazo.

ā€œWakamuuliza. Wiki mbili zilizopita ulitengeneza boksi la chuma hapa gereji? Akasema ndiyo. Wakamuuliza huyo mteja mlikuwa mnafahamiana? Akasema hapana, ila alikuja hapa alikuwa na kanzu nyeupe na ndefu nyingi, akanielekeza nimtengenezee boksi la aina hiyo.

Wakamuliza kama anajua anapoishi huyo mtu, akasema hajui. Wakamwambia alipigiwa simu na huyo mtu siku… baada ya hapo huyo fundi gereji waliongozana naye kwenda maeneo ya Ilala na kwingine ambapo walikamatwa watu wawili waliosaidia Ahmed Khalfan Ghailani kukamatwa nchini Pakistan na akawataja wenzake. Watu 14 dunia nzima walikamatwa na kuwekwa katika Gereza la Guantanamo Bay, Marekani.
 
Aisee yaani mgeni anaijua Nchi kuliko mwenyeji kweli sie bado tunaishi enzi za ujima.
 
Kesi za bongo hazinaga updates labda iwe kesi ya siasa. Kuna dada mmoja alitekwa kule kibaha akaenda akatupwa akaja kuokotwa hoi sijui alifariki au vipi, uzi wake uliwekwa humu na kuna jamaa wakawa wanajibu hoja kama vile ni washiriki wa waliomteka. Mpaka leo hamna updates wala kesi iliishia wapi. Bongo is like a jungle, survival for the fittest. šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
Yule aliyekuwa anafanya kazi benki alitekwa na kuuliwa kwa kuchomwa moto huko kwenye mapori ya kibaha...naona mpaka leo hakuna update
Ndomana nasema mitaani huku wamejaa material killa
Hilo ni bomb tunazidi kulitengeneza

Ova
 
Ndio huyo mkuu, mpaka leo sijaona updates yake kama jamaa walikamatwa au yule dada sijui alifariki au La watekaji walipatikana. Ilikua story kubwa humu JF. Hamnaga updates bongoland.
 
Back
Top Bottom