SAMAHANI WADAU
Naitwa MASOUD KAPITA
Kwa walim wa AJIRA MPYA na WA ZAMANI
ngazi
ya STASHAHADA natafuta MWALIMU wa
kubadilishana nae kituo Mimi nimepangiwa
Halmashauri ya Wilaya ya BUHIGWE-Mkoa wa
KIGOMA natafuta wa
kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka
Halmashauri yoyote iliyopo Mkoa wa TABORA,
KATAVI, GEITA, DODOMA na SINGIDA
Kwa mawasiliano piga Piga 0766786513
 
Mwalimu yupo Singida Manispaa Idara ya Sekondari anatafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kutokea Mwanza kati ya Ilemela au Nyamagana. Kama upo tayar ni PM
 
Nina dada yangu mwalimu wa sekondari yuko Tarime anahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mkoa wa kilimanjaro wilaya yeyote isipokua Rombo. yeyote aliye tayari tuwasiliane kupitia 0755517076.
 
Chonde chonde jamani! Njooni Moshi mimi niende Kibaha Pwani. Idara secondary. Tuwasiliane kwa 0757170397.
 
Mimi ni Mwalimu wa msingi katika Halmashauri ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Halmashauri ya jiji la Mbeya au Dar. aliye tayari ani MP
 
MWL NIPO MBOZI MBEYA IDARA SEKONDARI NATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAYE ALIYE DAR,MLANDIZI AU CHALINZE.
Cont;0766335128
 
Back
Top Bottom