Nasikitika kusema kuwa walimu wengi hawana adabu,kwan wanaweka maombi ya kuhama halafu unatumia muda wako na fedha zako kuwaunganisha halafu unawatumia sms kwenye namba walizoandika hawajibu.mtabaki hukohuko had muelimike kwanza,siwaunganishi tena walimu
 
Si kwa wote ndugu. mi nina mwaka mzima namtafutia mdogo wangu yupo Manispaa ya Musoma idara ya sekondari anatafuta wa kubadilishana wa manispaa ya Morogoro, Iringa na Dodoma hebu tuwasiliane 0767976500
 
Nasikitika kusema kuwa walimu wengi hawana adabu,kwan wanaweka maombi ya kuhama halafu unatumia muda wako na fedha zako kuwaunganisha halafu unawatumia sms kwenye namba walizoandika hawajibu.mtabaki hukohuko had muelimike kwanza,siwaunganishi tena walimu

Pole mkuu usikasirike hivyo, hayo ndo mambo ya msafara wa mamba. Humu ndani wapo watu wenye shida kweli na wengine ndo hivyo wapo tu jukwaani kukejeli wenzao.
 
mwl msingi kutoka shinyanga anaitaji kuja arusha,manyara,singida,kilimanjaro.kubadilishana ni text 0712872378
 
Nasikitika kusema kuwa walimu wengi hawana adabu,kwan wanaweka maombi ya kuhama halafu unatumia muda wako na fedha zako kuwaunganisha halafu unawatumia sms kwenye namba walizoandika hawajibu.mtabaki hukohuko had muelimike kwanza,siwaunganishi tena walimu

kwel mkuu ila wapo wenye shda ya kwl kam mm
npo musom nataka kubadilshana m2
kutok dodma,tanga,dar,morog,au pwan
nichek 0716293590
 
Back
Top Bottom