niko tunduru jamani kwa anayetaka kuja sehemu hizi idara ya sekondari tokea mbinga, songea,njombe au iringa basi tuwasiliane kwa 0682136570.
 
ndugu yangu yupo moshi (v) weruweru idara sec anahitaji kubadili na aliyeko mwanza mjini,moro mjini
 
utafanikiwa tu rafiki shaka ondoa Mungu yupo.
Mwenye kuja dodoma, chamwino! mm nimepata nafasi dsm issue ni wewe uhangaikie uhamisho wako huko ili uje dom chamwino idara ya msingi mm nisepe niende dsm! halahala muda umeisha! NB: sio mm ni ndugu yangu wa damu!!!!!!

Hapa mantiki ni kumpata mtu atakaenijazia nafasi yangu, sio kubadalishana! Nadhani naeleweka wakuu!!

CC: Elly Andrew, Negative 1, Mcheza Karate, thobias20, AHMED KATSH, Msangule Jr. lyosiii, iPad ya Apple, @gelcomond, Joseph Isaack, milioni milioni, Bible, mupanga, irumba1, Devla, seveline, Obbyally mbasha, dumpwa, Mkomawatu, cosM, Hans Pol, MUHASIBU, ketakono, babu Mlezi, kichwaones, Ami B, ZeMangi, veara, ytara jr, mbwiganyuki, benuard joseph, MBALANGU, BISHOPSAMY, the ultimatum, mbogyo, Gangnyota, Kazitunayo, Fino da Final, BigFish Classic, YUSUPH SHEKILINDI, Chinga One, sheizashafi, sundoka, msugupendingwite, Ndala ndefu, kitafura, Kibambaza, Marcy, LOIM, Mdume, Spellan, Morick, KIPWELA, Chiduo, julimushi, Materu materuni, CHALII TZ, WA MAKOBHWEO, analgesic, Mwasandembwa, ayuli, Gwakukaja85, NNETE, unique mathias, @mshuzaz, van Sam, Remmy kayanda, M.KABAKA, MAKOLE, Wazo la kabwela, Julius M, Suip, mwasheni, Mkoroshokigoli, RIKAB, 196, Edison, Laurence, Tanzanite klm, Magwira, NGANU, Enjoy Fumbo, comson, profeas mbiti, Wemba, M2mishi, SODOKA, Bhihalo, Massawe g.i, josam, ngwilla, Kitaeleweka, sakama, Joel Ezekiel, Lingulasi, NSWECKY. Felipe Haidary, Neilntan na wengine kibao bila kumsahau mkuu the Blue G atie baraka mchakato huu ili ufanikiwe!

NB:Kwa yeyote anaetaka mchongo wa kuhamia Arusha(Sio habari ya kubadlishana, basi anitue)! Naomna kusisitiza ni mchongo wa kibongo bongo!

Ahsanteni sana!
 
Mimi ni mwl. Idara ya sec. Nipo bukoba manicipal nahitaji mtu wa kubadilishana nae ambaye yupo mkoa wa morogo wilaya yoyote kasoro ulanga tuu.
 
Nipo manicipal ya bukoba nahitaji mwl ambaye yupo manicipal ya dodoma nahitaji mwl wa kubadirishana idara sec.
 
Mwalimu anae hitaji kubadilisha kituo kutoka Sumbawanga kuja Manyoni idala ya sekondary wasiliana nami kupitia namba 0769450501
 
Kuna rafiki yangu yupo Mwanza jiji idara ya sekondari, anahitaji kubadilishana na mtu kutoka Bagamoyo au Morogoro mjini. Mwenye uhitaji ani PM
 
naomba nitumie nambari zako za simu kwenye email yangu, tuongee na sidhani kama utapelekwa tofauti na hapo, mie ndo napatwa wasi na huko MORO.
 
Mimi mwalimu npo tanga lushoto halmashauri ya bumbuli natafuta wakubadilishana nae kutoka dar es salaam au pwan kwaalie taray tuwasiliane 0784 647289
 
Back
Top Bottom