mimi nipo hedaru ktk shule ya sec mkombozi mwalimu yeyote toka arusha anayetaka 2badilishane kituo anipm
 
mwalimu wa sekondari manispaa ya singida (mjini) anatafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka morogoro mjini, kibaha au dsm....
SH: 200,000 itatolewa na kodi ya chumba utalipiwa kwa miezi 6 ..
PM me kwa mawasiliano zaidi
 
vip kaka njoo mbinga mim nirudi hom singida

daah..kaka labda tufanye utaratibu ubandikiwe tangazo la kubadilishana hapa manispaa singida.,,..
sababu ya kuhama ni kukimbia hali ya hewa,,, maana sio rafiki kwa afya
 
kuna shule kama mwenge,senge,utemin,mungumaji,mitunduruni we upo shule gani?
 
daah..kaka labda tufanye utaratibu ubandikiwe tangazo la kubadilishana hapa manispaa singida.,,..
sababu ya kuhama ni kukimbia hali ya hewa,,, maana sio rafiki kwa afya

vanmedy hiyo afya yataka Dsm na Morogoro tu? Acheni usanii, chapa kazi bwana. Kama wataka joto nenda Mtwara au Lindi. Nitashangaa umeandikiwa na daktari kihiyo kwamba una Asthma, utadhani Singida hawaishi wagonjwa wa aina hiyo.
 
Last edited by a moderator:

ni mgonjwa anayehudhuria kliniki muhimbili (regular attendant),.. Alishapata rufaa kutoka hospitali kuu ya mkoa.. Sasa vuta picha frequent safaris za dar-sgd,. Plus costs za matibabu (maana manispaa always hutoa excuse ya kukosa hela za kugharamikia matibabu-ugonjwa ni mkubwa mkuu)...
Mdau yuko town kabisa,. Lakini hali inakuwa tete.. It is not about leisure Mkuu Ozzie... Alisharuhusiwa kuhama tena full vielelezo, but ni zaidi ya mwaka anazinguliwa kupata nafasi''urasimu''
 
Okay vanmedy
 
Last edited by a moderator:
hivi wewe kabwela unaakili kweli?unahisi kupangwa temeke kunakifanya kuwa Mungu mtu mpaka umwambie mwenzako akupe milioni 7 ndo mbadilishane"!!! shika adabu yako ----- wee...

hehehehe Chal labda mdau ana mipango mizito kidogo..
 
Last edited by a moderator:
hivi wewe kabwela unaakili kweli?unahisi kupangwa temeke kunakifanya kuwa Mungu mtu mpaka umwambie mwenzako akupe milioni 7 ndo mbadilishane"!!! shika adabu yako ----- wee...

hata mimi nilitumia pesa nyingi tu kupata hapa Dsm
nadhani adabu ushike kwanza wewe! Then ndo uje na hyo habri
 
Back
Top Bottom