Njoo Kyerwa Kagera, Nije
Mwanza Nyamagana au Ilemera
Au Dar es salaam
(Sekondali Somo ni Biology & Chemistry)
Mawasiliano 0764033080
 
Kuna alieweza kubadilishana na mtu kwa njia ya mfumo ess atupe ujuzi
Aise mfumo ni kikwazo kikubwa maana hata kama taarifa zimejazwa na pande moja ni vigumu kwa upande wa pili kuziona na kukubali ombi.

Kwangu Mimi naona mfumo haujakaa vizuri na huu mfumo umekuwa kikwazo cha watu kuchelewa kupata uhamisho. Sasa cjui ni lini wataruhusu mfumo uanze kufanya kazi na sisi tunaosubria uhamisho tuweze kuhama.
 
Aisee kwenye mfumo tatzo la No subject contact Your HR linaweza tatuliwa vipi maana HR na IT wangu wa Halmashauri wameshindwa aiseee msaada anae jua
 
Back
Top Bottom