Njoo songea manispaa niende mko wowote ISIPOKUWA Mikoa ya kusini yote pamoja na kanda ya ziwa!
Idara sekondari

Inbox for details!
Sawa

Mkuu Kuna pinned thread inayohusu walimu wanaobadilishana vituo vya kazi jukwaa la walimu utapata walimu wengi wanaobadilishana vituo vya kazi
 
Wangoni, wayao, wanyassa, na wengine wote ambao ni waalimu na vituo vyenu vya kazi ni nje ya Ruvuma kwanini hamtaki kurudi kwenu? Mwenzenu yuko Songea mjini kabisa anatafuta mwalim yeyote kutoka kaskazini aende Songea ili mwalimu ahamie mkoa wowote kaskazini! Inaonekana mkitoka songea hamtaki kurudi kabisa! , Ni karibu mwaka mzima sasa mwalim anatafutwa!
Njoo songea manispaa niende mko wowote ISIPOKUWA Mikoa ya kusini yote pamoja na kanda ya ziwa!
Idara sekondari

Inbox for details!
 
Back
Top Bottom