Hai kizuri mbona unahama?Njoo Hai Kilimanjaro nije njombe mji Idara ya msingi
Masomo gani?Njoo Same Kilimanjaro nije Kahama, Nzega ama Kaliua. Idara sekondari
Kuna nn kwani?Wilaya za Kilimanjaro kiukweli kuishi yataka moyo
Nipo ulanga shule ipo karibu na ifakar naul 3000 idar sekondar 0685880070Natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi..mimi niko Halmashauri ya MAFIA nataka kwenda KIBAHA DC. Idara Elimu msingi.. aliyekua tayari aje inbox
Pia anaetaka kuja kuja Mafia mimi niende popote.