Iddi Mwambasi
Member
- Jul 20, 2019
- 6
- 1
NoUnataka kuja tukuyu nije Moro? Mana umesema tu Safi sijakuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
NoUnataka kuja tukuyu nije Moro? Mana umesema tu Safi sijakuelewa
Asante,nahitaji shinyangaMaswa vipi mkuu??? Ukiwa tayari tuwasiliane..0743 251125
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ili ugundue nini?Guys mimi ni mwalimu mwenzenu japo sio wa primary wala secondary. Ila mrs wangu ni mwalimu wa sec. Natamani sana kuwaunganisha walimu wote tanzania nzima ili kuwaletea umoja na mshkamano ambao ni solid. Kwa maana ya kwamba wanaweza kujadili jambo kuwahusu na wakawa na msimamo mmoja nchi nzima.
Kwa watakaopenda kabla ya kujiunga download app inaitwa telegram kwanza kupitia link hii hapa Download it here: Telegram – a new era of messaging
Baada ya kuipata app ya telegram nakuomba ujoin kwa kuclick hii link hapa chini
TANZANIA ALL TEACHERS ASSOCIATION
Basda ya hapo endelea kumshirikisha walimu wenzako wote walio kwenye contsct phone book ya simu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna wa kigoma huko uniunganishe naeNjoo kahama msingi nije Ubungo dsm
mhNjoo kigoma dc nije kahama, shinyanga manispaa
Mbna umeguna?