Francis1896
Member
- Apr 12, 2018
- 5
- 0
Njoo Singida wilaya ya manyoni mjini simu0769251886 pia nirahisi kwenda Geita,Mwanza au darNjoo karatu arusha yy aje geita dc, chato au kahama 0765932749
Njoo Singida wilaya ya manyoni mjini simu0769251886 pia nirahisi kwenda Geita,Mwanza au darNjoo karatu arusha yy aje geita dc, chato au kahama 0765932749
Njoo manyoni SingidaNjoo karatu arusha yy aje geita dc, chato au kahama 0765932749
Baki mbozi ulime mahindi na alizeti huko,unakimbilia rungwe kule hakuna uchumi wanyakyusa wavivu na wachawi kwelikweli utakufaJamani njooo mbozi mkoa wa songwe nije wilaya ya rungwe au busokelo mbeya
Tuwasiliane nipo tanga.0621457202JAMANI WAKUJA MAHENGE MKOANI MOROGORO MIMI NIENDE MIKOA YA ARUSHA,KILIMANJARO,MANYARA NA TANGA.KATIKA MIKOA HIYO WILAYA YOYOTE NIPO TAYARI KUJA.MIMI NI MWALIMU SEKONDARI.ULIYE TAYARI TUWASILIANE KWA 0652040227
Mimi ni Mwalim nipo Mvomero morogoro nataka kubadilishana Na MTU yeye aje Mvomero mimi niende kilombero ifakara nna tsd namba toka mmda idara secondary science but hata kama utakuwa arts. Kwa mawasiliano 0788018665Haswaa.
Poa kk ila kama yupo wa kutoka kilombero aje Mvomero nipo tayari oswardwaziri@gmail.comKuna jamaa yupo Mahenge mkoa WA morogoro anahitaji kwenda mvomero,korogwe,tanga mjini au Arusha(karatu,monduli,arumeru,au arusha jiji).idara elimu sekondari.mawasiliano kwa aliye tayari ni 0623346083
Mkuu mbona morogoro pako safi unless labda kuna jambo lingineMimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke jijini Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
Aisee Maze samahani naomba kuuliza hivi ni lini mwisho wa kutuma maombi ya uhamisho ?Njoo Musoma municipal nije mkoa wa Morogoro hasa Mvomero. IDARA SEKONDARI. mawasiliano
0768566827 / 0677048069. Only serious teachers.