Nipo nyamagana jiji la mwanza.Natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kaz yeye aje jiji la mwanza nami nije dar.Idara msingi.
 
Njoo wapi na wapi cjui nije wapi na wap!!? Hivi nyie nani anapitisha uhamisho wenu maana wenzenu tumeomba toka mwaka jana mpaka leo hatujui hatma yetu. Cjui barua zenyewe zilishapotezwa!!!!
 
Back
Top Bottom