Mwalimu wa sekondari nipo Lushoto Mjini nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Dar au Bagamoyo.
Mawasiliano 0755 517 076 au 0717 451 400. Karibuni Lushoto
 
Nipo Maswa nataka kubadilishana Na Mwalim wa Morogoro, Wilaya ya Mvomero, Idara ya Secondary. Nitumie private msg
 
Kama wewe ni wa s/m uko kibaha au hata mkuranga kibiti badilishana na mwalimu kutoka lushoto Tanga pg 0654687529
 
Mwl Ziada Nassor, kutoka wilaya ya busega secondary mkoani simiyu, anaitaji wa kubadilishana nae kwenda pwani, morogoro au Dar.namba ya simu 0769429434
 
Mwl Ziada Nassor, kutoka wilaya ya busega secondary mkoani simiyu, anaitaji wa kubadilishana nae kwenda pwani, morogoro au Dar.namba ya simu 0769429434
Huna sifa za kuwa Great thinker, tumia akili kidogo unapojaribu kupost taarifa za mtu, hukukuwa na haja ya kutaja Jina lake wala kuanika mawasiliano yake hapa.
 
Huna sifa za kuwa Great thinker, tumia akili kidogo unapojaribu kupost taarifa za mtu, hukukuwa na haja ya kutaja Jina lake wala kuanika mawasiliano yake hapa.
ttz liko wp kwn km mwenye taarifa kataka ziandikwe km anavotaka yeye?Great thinker huwezi mjua kwa kutumia ukili zisizo za ki-great thinker brother
 
Back
Top Bottom