Habarini walimu, poleni na majukumu ya kila siku. Napenda kuwatangazia huduma mpya inayopatikana kupitiahamafasta.com huduma inayotolewa katika mtandao huu ni kukutanisha walimu wenye mahitaji sawa ya kuhama sehemu mbali mbali. Kwa mfano mwalimu aliyeko mwanza anayehitaji kuhamia arusha anauwezo wa Kutafuta mwalimu aliyeko arusha anayehitaji kuhamia mwanza kwa urahisi zaidi.
Kupitia huduma hii pia mwalimu atakua na uwezo wa kutafuta kupitia searchbox mtu anayeendana na mahitaji yake ya kuhama kutoka katika mkoa au wilaya fulani. Mwisho kabisa huduma hii ni BURE kabisa, unachohitaji ni kujisajili tu. Karibuni

hamafasta.com ni suluhisho la mahitaji yako ya kuhama kituo cha kazi

Tupo kukusaidia
 
Wale wa songea manispaa hamtaki kwenu? Nataka rudi mbeya v au mbeya jiji!! Idara secondary, aliye tayari anicheki kwa 0676256144
 
Mimi ni mwalimu kada ya secondary nipo rombo natafuta mwalimu Wa kibadirishana nae kituo cha kazi kwa mikoa ya pwani morogoro hata tanga mwenye kuhitaji ani PM
 
Back
Top Bottom