jamani watu wa tabora njon kwenu nije mbeya au iringa na njombe, secondary;near plc to hom waweza fanya ya maana badala ya kupanga budget naul kuuubwa.call 0787245301
 
TUBADILISHANE. Kwa mwl mwenyeji wa kusini (MTWARA-NEWALA) au mikoa ya karibu. Njo Mtwara-Newala nami nije wilaya yoyote mikoa ya MBEYA,IRINGA,NJOMBE,RUKWA na KATAVI. Idara ya sekondari.0759410327
 
Dah afadhali sana. Nilikuwa natafuta sana mtu wa kubadilishana nae nije Mtwala yeye aje Songea. Hebu ni PM mambo yakae sawa ila utanipa na katakrima kidogo mkuu.
 
Back
Top Bottom