Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,108
- 5,626
samahani:kwa mwaka huu majina ya watumishi wanaobadlshana vituo vya kazi,tamisemi yaweza kuyatoa ln?
Mwl njoo busokelo tukuyu shule ya sec mwakaleli mimi nije iringa mjin au iringa vijijin
samahani:kwa mwaka huu majina ya watumishi wanaobadlshana vituo vya kazi,tamisemi yaweza kuyatoa ln?
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
Njoo kilosa boys nikaribu na manispaa unapopataka nauli buku tano kuna mwl yuko tayari