mimi mwalimu abdul bakari iddi niliyopo wilaya ya mpwapwa nahitaji kubadilishana na mwalimu aliyopo manispaa ya dodoma au wilaya ya chamwino. mawasiliano _0712714371 au 0628118211
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Moshi
vijijini, Moshi mjini, Hai, Siha, Rombo.
0684533627, 0717690221, 0758121353
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998

pole sana! Mara kwa mara nakuta post yako, watu wanaogopa Arusha maisha ni magumu. Subiri uchaguzi wa ubunge upite na ujaribu tena.
 
Jamaa angu yuko Musoma Mjini anaomba wa kubadilishana nae yeye arudi Dodoma ( dodoma mjini au Kongwa)
Namba ake 0767975096
 
pole sana! Mara kwa mara nakuta post yako, watu wanaogopa Arusha maisha ni magumu. Subiri uchaguzi wa ubunge upite na ujaribu tena.

Mimi mbona nipo tayari kwenda hapo Arusha vijijini/Arusha dc kama mdau huyo angekubali kuja Singida ambapo ni karibu na Moro
 
Watu wengine wanakuja huku kukatisha watu tamaa tu. Wewe unaehitaji kubadilishana na mtu usikate tamaa kwa maneno ya watu, fuata unachokihitaji. Unaweza kutafuta hata mwaka mzima asitokee mtu lkn hiyo isikurudishe nyuma. Kila siku wanaingia watu wapya kuja kutafuta wa kubadilishana nae iko siku atakukuta na mkabadilishana. Na pia kama mtu huhitaji mwl wa kubadilishana nae kinachokufanya uwakatishe tamaa wengine wenye nia ya kuhama ni nini? Inakuwasha nini mtu kuomba kuhamia nyumbani kwao??? Tuweni wastaarabu kama huna kazi ya kufanya kalale acha kuwakwaza wenzio.
 
Back
Top Bottom