Njoo tunduru mjini mm nije songea mjini ,makambako au mbeya mjini au iringa manispaa (idara ya sekondari).0788014921
 
Njoo nachingwea lindi mimi nije mbeya (vijijin au jiji) au rungwe au mbozi au tunduma au mbarali idara ya msingi. 0718294989 au 0786211063 au 0718294989
 
Mwl yupo Muleba mjini Kagera idara ya msingi anatafuta mwalmu wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Pwani,Morogoro au Arusha.mawasiliano ni 0764947333
 
Mwl yupo Muleba mjini Kagera idara ya msingi anatafuta mwalmu wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Pwani,Morogoro au Arusha.mawasiliano ni 0764947333
Mwambie kama anaweza asogee Manyon mjin Singida ,Piga namba 0757089450 au 0785164144
 
poleni sana kwani kuhama lazima usumbuke hivyo cjui umtafute wa kubadilishana wakati sio lazima. amkeni and socialize it is very simple to get transfer
 
nJOO NJOMBE AJE MWANZA IDARA MSINGI TAFADHARII WA MWANZA AENDE NJOMBE PLZZ NI FASTA SANA MAMBO YANA KAA SAWA
 
hii ni ya kuwahi haraka kabla wenzako hawajaona....NJOO DUMILA nauli MPAKA MORO TOWN ni buku mbili tu..mimi nije DODOMA MANISPAA tu...0753477905 nicheck fasta..idara ya sekondari
 
Back
Top Bottom